Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna njia unatamba mwenyewe mkuu, unajuta haina tuta, haina trafic na haina gari zaidi yako mwenyewe na ikitokea ni gari moja au mbili tatuNyie watu hatuna motorways au autobahns
Kaifufua upande wa injini au body? Huyu ndo wa arusha? Anafanya hivyo kwenye lc pia?Much thanks kwa Bosco Designer, mwaka huu nitatamba Barabara za mikoani, mnyama sana kaifufua Defender yangu ni mwendo wa safari tu
Much thanks kwa Bosco Designer, mwaka huu nitatamba Barabara za mikoani, mnyama sana kaifufua Defender yangu ni mwendo wa safari tu
Lisaa sasa tumepaki tu.Nchi yetu hii misafara ya viongozi ni changamoto sana. Hapa tumewekwa pembeni kupisha msafara wa Mheshimiwa mmoja, nusu saa ishapita sasa na hamna dalili.
View attachment 1863461
Hapo kabla sijawekwa kushoto.
Ila lami ya aina hio huwa nazipenda sana. Ina vikokoto hivi sio lami kioo. Tairi inashika chini vizuri sana.Nchi yetu hii misafara ya viongozi ni changamoto sana. Hapa tumewekwa pembeni kupisha msafara wa Mheshimiwa mmoja, nusu saa ishapita sasa na hamna dalili.
View attachment 1863461
Hapo kabla sijawekwa kushoto.
Tuzeni na afya kunawezenu wanamiaka vitandani wewe nje jua hawalioni tokawamelelaKukaa mahala pamoja inachosha sn[emoji848]
Au nasema uongo ndugu zng?
Acha tu mkuuDuh nimeandika nimefuta.....!
Hao walikwambia hawakutunza afya zao?Tuzeni na afya kunawezenu wanamiaka vitandani wewe nje jua hawalioni tokawamelela
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Kama wagonjwa wa ukimwi utasema walitunza afya ,figo,liverHao walikwambia hawakutunza afya zao?
Kama wagonjwa wa ukimwi utasema walitunza afya ,figo,liver
MTU ambaye siwezi sema hakutunza afya ni aliyelala kwasababu ya ajali
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Tuliachiwa kama dakika tano baada ya hii text baada ya msafara kupita.Acha tu mkuu
Pole sana...hapo ni binadamu mmoja mwenye sifa za kujua kusoma na kuandika ndiyo anasababisha adha kwa watumiaji wwngine wa barabara..Lisaa sasa tumepaki tu.
Lami hizo tamu sana, tyre inakaa vizuri kabisaa..Ila lami ya aina hio huwa nazipenda sana. Ina vikokoto hivi sio lami kioo. Tairi inashika chini vizuri sana.