Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na familia au watu wanakutazama ni muhimu hiloMimi sikuhizi nimeacha kumaliza kisahani enzi zile wakati sijaoa sina watoto kweli nilikuwa napenda sana ligi. Siku hizi naenda speed max 140. huwa nawaza watoto nikivuta nani atawalea. basi najikuta nakuwa mpole tu. ila kama nimepata simu ya dharura nikaitwa mkoani matumizi ya dashboard yanabadilika speed inahitajika pale tu inapotakiwa kweli mm kukimbia
Ni kweliUkishakua barabarani hata utembee na 40 kama hupo makini utapata tu ajali.
Kuna waliozolewa wakiwa wamepaki pembeni
Umakini muhimuHii barabara naikubali sana. Arusha-Manyara-Kondoa-Dodoma. Ni noma. Tena ukiondoka usiku kama wa saa tatu hivi usiku Arusha unakutana na wanyama wa kutosha barabarani.
140kph ndio mwendo elekezi ๐๐Mimi sikuhizi nimeacha kumaliza kisahani enzi zile wakati sijaoa sina watoto kweli nilikuwa napenda sana ligi. Siku hizi naenda speed max 140. huwa nawaza watoto nikivuta nani atawalea. basi najikuta nakuwa mpole tu. ila kama nimepata simu ya dharura nikaitwa mkoani matumizi ya dashboard yanabadilika speed inahitajika pale tu inapotakiwa kweli mm kukimbia
Unasoma na mtoto wa Askofu mstaafu wa CD Farm.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka hapa Nam zoom tyuuh.
Iv ushaondoka jijini? Maaan nlibanwa saan na now UE umekuka moto lol.
Yupi huyo?Unasoma na mtoto wa Askofu mstaafu wa CD Farm.
Unakuwa kama simba tu, mshindi hujulikana baada ya kuzichapa ๐๐๐ ๐ unapeleka tu motoHizi huwa naziacha ziende....sitaki kuua kiberiti changu
Kawia tu mkuu.. ๐๐๐ utajikuta unakawi kwa kila jambo
Ni kweli, na kupiga tuta ni sawa na kuharibu gari kwa kukusudia. Wale dawa yao ni tambalale unawatingisha roho hadi wabaki wanashangaaHao wakishakuacha kwenye matuta utachoma mafuta bure tu!
Utaajiri dereva akuendeshe. Unaweka tu miguu juu kwa kiti cha nyuma na mkononi ka gilasi ka white wine.. huku kanakuingia ka wine mdogo mdogoMimi nilishajiona sifai kuwa dereva.
Kwanza sina uvumilivu.
Udereva wa baiskeli unanitosha[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38]Utaajiri dereva akuendeshe. Unaweka tu miguu juu kwa kiti cha nyuma na mkononi ka gilasi ka white wine.. huku kanakuingia ka wine mdogo mdogo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kawia tu mkuu.. [emoji3][emoji3][emoji3] utajikuta unakawi kwa kila jambo
Watu wachokozi sanaaa.. ila leo tu siku ingine sikimbizi tena gari, nitaweka kidhibiti mwendo yaani mwisho 80kmh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu wanaamini sana vyombo vyao na maneno ya mitaani. Kabla ya huyo wakati niko njia ya Msata Bagamoyo nyuma yangu ikatokea gari inataa nzuri ananiflash,kawaida kuna taa nikiziona najua sio gari ya kipuuzi nikampisha na fujo zake! Kuangalia ni Hilux mpya D4D nikajisemea hunijui wewe. Nikaanza kumtafuta dakika mbili niko takoni na indicator ya kulia,akakaza nikakandamiza mguu nikakaa kulia. Kuna down fulani kabla ya Msata njia imebonyea kiaina inarusha sana magari, pick up ilirushwa jamaa akawahi breki,nikapita hapo hapo na bumps zake na 160kph nikapotea kaja kunikuta Wami njia ina mawimbi nabembeleza gari huku mbele kuna malori, akapita baada ya daraja pale unapandisha hivi.
Nikapata upenyo nikaanza kumtafuta,njia pale imenyooka na up and down fulani amazing, dakika mbili nyingi nina kama 170 namuona yule Hilux inatoa moshi tu, mita 50 nyuma nikakaa kulia na nimewasha indicator nikawaambia abiria hio Hilux itatoa moshi hadi iungue mimi napita hapo alikuja kunikuta mkata tunakula nyama. Kifupi yule kijana wa kiarabu na wenzie walikuja kunisalimia tukaongea sana kuhusu magari, sasa hivi ana 2011 audi a4 na 2010 range rover sport sdv6