Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Aaah kuna 442Km.. uki maintain mwendo wa 100kmh masaa manne na dk kadhaa, ukifanikiwa maintain 150-200kmh.. ushapata majibu 🙂🙂. Nikiwa na SUV nakuwa nachezsa humo humo.. tukianza trip nitakuonesha mfano inavyokuwaga 😎
Niliwatembeza watu Mombo-Himo chini ya masaa mawili ikawa topic karibu mwezi mzima. Mimi nilikuwa naenda mwendo wangu tu ilikuwa usiku saa sita na....kumbe jamaa wanaangalia muda kufika wanasema na udereva wao wote na uzoefu wa kwenda mbio hawajawahi kukata hicho kipande chini ya 2hrs. Nilikuwa na VW katikati hapo nilikutana na Mark X kabla ya Same akataka ligi nikamnyoosha na 180kph akapotea,akanikuta mbele ya Same nimesimamishwa kwenye barrier akapita,nikatoka hapo nikamtafuta nikamla baada ya dakika kama kumi hivi.
 
😀😀😀.. Sina mashaka na uzoefu wako. Mwendo wako wa kawaida wengine kwao sio wa kawaida ndio maana walibaki na mshangao. Mark X alitaka kupima upepo VW dah! Kutokujua vyombo vya kuchezea sharubu. Kuna gari mie huwa nikiziona nakaa pembeni kwa heshima na sileti fujo yoyote ile
 
mkuu mimi trips za dom-dar-dom ni after every 2 weekends sio kwamba nimepita mara moja and natumia ACA38W ila nikijitahidi sana ni 5hrs n 40 minutes. Dom kutoka saa 11 jioni fridays then sundays dar natoka mida ya saa 11 jionj pia. Maybe uyo mtu anaetumua 4hrs anatembea saa nane ya usiku.
Note pia dar to dom road ina malorry mengi tofauti na njia kama dar to arusha.
UKITOKA ARUSHA JUMAPILI ALFAJIR KUJA DAR I AU UKITOKA DODOMA SAA TISA USIKU KUJA DAR SIKU YA JUMAPILI MARA NYINGI HUWA HAMNA ASKARI WANAKUWA WAMECHOKA WANAJITAYARISHA KWAAJILI YA JUMATATU. BARABARA HUWA NI NYEUPE UNAPEPEA TU.
 
😀😀😀.. Sina mashaka na uzoefu wako. Mwendo wako wa kawaida wengine kwao sio wa kawaida ndio maana walibaki na mshangao. Mark X alitaka kupima upepo VW dah! Kutokujua vyombo vya kuchezea sharubu. Kuna gari mie huwa nikiziona nakaa pembeni kwa heshima na sileti fujo yoyote ile
Kuna watu wanaamini sana vyombo vyao na maneno ya mitaani. Kabla ya huyo wakati niko njia ya Msata Bagamoyo nyuma yangu ikatokea gari inataa nzuri ananiflash,kawaida kuna taa nikiziona najua sio gari ya kipuuzi nikampisha na fujo zake! Kuangalia ni Hilux mpya D4D nikajisemea hunijui wewe. Nikaanza kumtafuta dakika mbili niko takoni na indicator ya kulia,akakaza nikakandamiza mguu nikakaa kulia. Kuna down fulani kabla ya Msata njia imebonyea kiaina inarusha sana magari, pick up ilirushwa jamaa akawahi breki,nikapita hapo hapo na bumps zake na 160kph nikapotea kaja kunikuta Wami njia ina mawimbi nabembeleza gari huku mbele kuna malori, akapita baada ya daraja pale unapandisha hivi.
Nikapata upenyo nikaanza kumtafuta,njia pale imenyooka na up and down fulani amazing, dakika mbili nyingi nina kama 170 namuona yule Hilux inatoa moshi tu, mita 50 nyuma nikakaa kulia na nimewasha indicator nikawaambia abiria hio Hilux itatoa moshi hadi iungue mimi napita hapo alikuja kunikuta mkata tunakula nyama. Kifupi yule kijana wa kiarabu na wenzie walikuja kunisalimia tukaongea sana kuhusu magari, sasa hivi ana 2011 audi a4 na 2010 range rover sport sdv6
 
Ukishapelekeshwa mala kadhaa hofu inakuisha kabisa
Umenikumbusha juzikati..
Ile Bus walivyomaliza kutengeneza,dereva aliyepokea alianza kupepea njiani usiku huo.
Kuna abiria akaanza kulalamika "asitupelekeshe,we konda mwambie dereva hatuna haraka"
Dereva akawa anasema nani huyo analalamika?mtu amekaa nyuma hata barabara haoni,amejuaje kama sipo makini[emoji1787]
Kama hauna haraka ungepanda treni[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2017 Prado na LC100 V8
Hawa ilikuwa mchana tu kipande cha bagamoyo msata kilometa kadhaa kabla ya Msata. Hawa walinikuta kwenye matuta na malizia wakanila wote wawili wanafukuzana. Abiria wangu wakasema 'wanaume hao' duh nikasema kimoyomoyo 'hiiiiiiii' kwa sauti ya RIP Magu.
Nikaanza kutafuta mwizi kimya kimya, dakika kama 5 hivi hawa hapa wanatoana jasho, kuna kona fulani ya kulala nayo wanasikilizia, niliwala wote wawili na 170kph wakanikuta Msata pale kulia tunakunywa maji kipanya changu kinaunguruma!
 
Gari ya ulaya ni ulaya tu, gari za ulaya acha zichuane zenyewe kwa zenyewe zi akitu cha ziada na watu kukosa taarif sahihi huchukulia poa.
Umetajia D4D, jana nilikutana nayo kongwa, mwanzo kabisa. Ikaniomba kupita, akapita kwa dharau sanaa, as if naendesha Vitz. Na mie sikupenda dharau, nikasema acha nijilipue, Nikaplace sport mode.. nikaa nyuma yake anakanyagaa namfukuza.. mshale ulikuwa unapanda nae naona anakazaa namuomba anipishe anakaza.. nilimpita kama mshale, maana nilishusha mafuta hadi mwisho mshale huo apo kwenye 200.. na nikasema moyoni hapa hunipati tena, sijui aliishia wapi
 
Ukitaka kuona vijana wanateketea na hizi Crown pita mtaa wa tandale pale; Utaona magari makali mapya yamepiga mizinga ya ajabu. Pale kuna brevis, kuna crowns kuna VX V8's, zipo Range, Hilux mizinga ya ukweli gari mpyaaaa. Yaaani huwa napitaka pale naangalia naona kweli vijana wanakimbia sana barabarani
 
Aisee unawati sana adabu 😀😀😀😀😀. Ilikuwa dharau hiyo, eti wanaume hao.. mie mwenyewe hapo ningekufa na tai shingoni 😀😀
 
Gari ya ulaya ni ulaya tu, gari za ulaya acha zichuane zenyewe kwa zenyewe zi akitu cha ziada na watu kukosa taarif sahihi huchukulia poa.
Umetajia D4D, jana nilikutana nayo kongwa, mwanzo kabisa. Ikaniomba kupita, akapita kwa dharau sanaa, as if naendesha Vitz. Na mie sikupenda dharau, nikasema acha nijilipue, Nikaplace sport mode.. nikaa nyuma yake anakanyagaa namfukuza.. mshale ulikuwa unapanda nae naona anakazaa namuomba anipishe anakaza.. nilimpita kama mshale, maana nilishusha mafuta hadi mwisho mshale huo apo kwenye 200.. na nikasema moyoni hapa hunipati tena, sijui aliishia wapi
Mtaani wanadanganya D4D inakimbia sana, juzi Moro-Dar huyu ndio alinifanya nivunje ahadi yangu ya kutembea chini ya 140kph, aliniletea dharau eneo hatarishi, alivyopita niliungurumisha 4GR nikampita kama kasimama!
 
Ukitaka kuona vijana wanateketea na hizi Crown pita mtaa wa tandale pale; Utaona magari makali mapya yamepiga mizinga ya ajabu. Pale kuna brevis, kuna crowns kuna VX V8's, zipo Range, Hilux mizinga ya ukweli gari mpyaaaa. Yaaani huwa napitaka pale naangalia naona kweli vijana wanakimbia sana barabarani
Uchokozi barabara, kama hujaamua na wewe kuwadharau unajikuta unaunga tera kuoneshana .. ndicho kinacho tuponza na unakuta pia udereva wenyewe wa manati
 
Ukitaka kuona vijana wanateketea na hizi Crown pita mtaa wa tandale pale; Utaona magari makali mapya yamepiga mizinga ya ajabu. Pale kuna brevis, kuna crowns kuna VX V8's, zipo Range, Hilux mizinga ya ukweli gari mpyaaaa. Yaaani huwa napitaka pale naangalia naona kweli vijana wanakimbia sana barabarani
Hatari sana
 
Umenikumbusha juzikati..
Ile Bus walivyomaliza kutengeneza,dereva aliyepokea alianza kupepea njiani usiku huo.
Kuna abiria akaanza kulalamika "asitupelekeshe,we konda mwambie dereva hatuna haraka"
Dereva akawa anasema nani huyo analalamika?mtu amekaa nyuma hata barabara haoni,amejuaje kama sipo makini[emoji1787]
Kama hauna haraka ungepanda treni[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Utazoea tu, ma speed . Haba na haba
 
Back
Top Bottom