Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]180 haina maajabu
Au siyo!
Ukachoma hadi 240[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]180 haina maajabu
Hahahah yah kama gari ikikata bushing ndio vibrations na milio ya vyuma vinagongana inakuwa severe! Ball joints na swaybar bushes zikiwa out of shape huwezi tembea na gari rough road inakera ila kwenye lami husikii kitu kabisa tulivu mno mpaka ukanyage rasta😅😅😅[emoji3][emoji3]
Ulitaka mambo yaende chap[emoji1751]
Mimi vitu vya mkato huwa sipendi.
Pole mkuu.
Kwahiyo gari iliimba pambio na kupiga geregere ya kutosha?
Sipati picha kelele zake[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda wake haukuwa sahihi wa kutembelea gariUkiona mtu analia wese, ujue hakuwa tayari kununua gari
Usingizi ni jangaNimekuta mahala basi imemwaga watu dah! Hatari sijui dereva alipitiwa na usingizi
Hadi 260kmh, wengine hatuna cha kupoteza.. ukiingia kwenye line yangu, alafu unikute wa moto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Au siyo!
Ukachoma hadi 240[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeibalancisha kabisa hapo below 2rpms 😂😂😂View attachment 1850899
Mnyama crown athlete. Speed 120 but check rpm… mwendo ni kutumia cruise ctrl tu
Hahahaha ni za kuachTena kama mambio ndio kabisa
Kwa sababu tu ya ligi road[emoji38]Hadi 260kmh, wengine hatuna cha kupoteza.. ukiingia kwenye line yangu, alafu unikute wa moto
Kila mmoja ana agano katika maisha yake.. unalo fikiria ndio linalo kujia. Sifikirii cha kanza ajari na sifikiri kilema cha mwili, na sitokufa kwa ajari wala ulemavu kutokana na ajari.. na tusipangiane kufikiri wala kuamini😎😎😎Kwa sababu tu ya ligi road[emoji38]
Kumbuka ajali siyo lazima ufe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu.Kila mmoja ana agano katika maisha yake.. unalo fikiria ndio linalo kujia. Sifikirii cha kanza ajari na sifikiri kilema cha mwili, na sitokufa kwa ajari wala ulemavu kutokana na ajari.. na tusipangiane kufikiri [emoji41][emoji41][emoji41]
Hayawezi nipata, hata usipo omba.. yaani hiyo given.. hakuna ajari wala kilema kutokana na ajari.. hiyo haitaji kuomba mkuu 🙂🙂🙂🙂🙂 ni kama pie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayawezi nipata, hata usipo omba.. yaani hiyo given.. hakuna ajari wala kilema kutokana na ajari.. hiyo haitaji kuomba mkuu [emoji846][emoji846][emoji846][emoji846][emoji846] ni kama pie
Hahahahahah mzee unaniacha hoi😅😅😅😅😅 mshale unatakiwa ufike 4 kinyama 😂😂😂😂 usikie uluzi wa 4GR ule ila silencer ya crown tamu sana yani!2 rpm ni kujichosha. Ibute tu usikiw ule mlio aa kibabs
Unachoombea ndicho unacho kivuta.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa siijui huwezi amini nilichukua 3 hours kufika kijiji
Eeh unajaza tu ila kichapo kinawahusu maana uzuri wa crown ukisema unaitoa inakamata vizuri lami unanyoosha goti tu ikifika 6...5... jua ushakata bodi kushoto!Kwenye tafrani za kibabe RPM inacheza 6, 5, 4 😀😀😀😀😀... sema ndio vituo vya mafuta inakuw pie
Na sasa hivi ikwezekana barabara ipanuliwe .au yale ya mbeya yatumue e njia ya kusini kupunguza msongamano.mkuu mimi trips za dom-dar-dom ni after every 2 weekends sio kwamba nimepita mara moja and natumia ACA38W ila nikijitahidi sana ni 5hrs n 40 minutes. Dom kutoka saa 11 jioni fridays then sundays dar natoka mida ya saa 11 jionj pia. Maybe uyo mtu anaetumua 4hrs anatembea saa nane ya usiku.
Note pia dar to dom road ina malorry mengi tofauti na njia kama dar to arusha.
Hahahaha aisee hamna raha zaidi ya hio! Sawa na kufika traffic lights halafu taa zikawaka kijani kabla hujasimamaKwa leo, ukweli nilizamilia lolote kuanzia Trafic, tochi etc.. na cha ajabu na vurugu zote sijapigwa mkono hata sehemu moja, na kwa leo tu nimetembea km 957 bila unoko 😀😀
Nimekuelewa boss.Unachoombea ndicho unacho kivuta.
Hahahaha shortcut za kule jauKuna njia ya mkato nishawahi pita kule Tukuyu,yaani ile njia nilisema sirudii tena kupita,bora nizunguke.
Sent using Jamii Forums mobile app