Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Kofia ya Mfalme 😅Toyota wameamua kuwa serious.....Wameamka usingizini..big up kwa designer..[emoji123][emoji123]View attachment 1857517
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kofia ya Mfalme 😅Toyota wameamua kuwa serious.....Wameamka usingizini..big up kwa designer..[emoji123][emoji123]View attachment 1857517
Hahahahah huenda jamaa alipiga kitoko kwanza kabla ajachapisha swaliSwali la kiwaki, linajibiwa kiwaki tu 😀😀😀😀
Eeh! Unakuwa huwana kabisa plan ila tunalazimishana😂😂😂 Kuna mtu alikuchokoza?!! Yaani unatoka nyumbani unajisemea leo mwisho 140kph mara anatokea mtu na truck yake analeta dharau!
Pisi kali, ikiweka miguu kwenye dashboard alafu imevaa kimini, bila self control, ubavu wa kuipoga stop unakwisha, unabaki unatazama tu miguu 😬😬Pisi ndio zina mambo hayo na matozi wao wanaona sifa wanawaruhusu.
Huwa wana dharau sana, wakikuona na kigari kidogo dogo, wanakupigia mahoni, vurugu.. unaamua kuwapiga show ya maana hadi ulimi wote nje😂😂😂 Kwamba wanakukanyagia wewe...?!!
Hio ndio ule usiku mkali katikati ya pori ukute uko 220kph halafu hujaweka high beams! Unashangaa hili hapa hili 😂😂😂 mara inabaki story! Pakikucha watu wanasoma namba tu DVA 555 ni mwendo wa RiP tu! Gari imebaki kiuno tu cha nyuma
Mwendo wa Chama huo 😅😅😅Hee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usije tu kuwa kama Holy man speed 180 anasema nitaenda speed ndogo 180tu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Speed kubwa kwangu ni kuanzia 100.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah eeh sometimes ujasiri unahitajika mzee 😅😅😅!!! Kuna siku nilikuwa napanda kilina naiona FAW ile inashuka nayo nikakaza roho pembeni kuna semi 2 ikabidi nipige odd off nikaiwasha nilizikata chap nirudi kushoto 😅! The worst bet i ever made on road.😀😀😀 leo kidogo nibutua ng'ombe nipo 200kmh, kundi la ng'ombe hilo barabarani.. duh! Nilichofanya nilikanyaga mafuta zaidi kuwa time.. nikavuka.. nipo sehemu nimakosa kundi la watu.. wanacheza road.. yaani.. leo nilikuwa kama na msafara wa rais kwa speed haipoi..
Yeah usiku sio mzuri mzee mwenzangu! Sahizi naona afadhali hata wale mabwege pia wamepunguza usumbufu road!Usiku nauheshimu sana. Barabara zetu sio rafiki.
Hao unaweza kuta sio watu 😎😎😀😀😀 leo kidogo nibutua ng'ombe nipo 200kmh, kundi la ng'ombe hilo barabarani.. duh! Nilichofanya nilikanyaga mafuta zaidi kuwa time.. nikavuka.. nipo sehemu nimakosa kundi la watu.. wanacheza road.. yaani.. leo nilikuwa kama na msafara wa rais kwa speed haipoi..
Hahaa kuna watu wana allergy na Low speed
Wale wahuni wanapigaga 240KPH so swiftly maana hawana destructions na matuta wanayafukiaga tu 😅😅😅Uko vizuri mkuu. Natumia Nissan Fuga 350XV.
3.5L V6
Hao mabig bro nakula nao sahani moja mwanzo mpaka mwisho wa safari. Watanizidi kwa kufukia matuta tu. Au kama wakitembea zaidi ya 180 kwa muda mrefu, maana I am limited to 180kmph nikiwa 4000rpm
😀😀😀😀 na mie ningewabutua , leo kichwa ilikuwa na mzukaHao unaweza kuta sio watu 😎😎
Hahahaha sio unaachwa kizembe tuRaha ya long trip RPM, speed na utemi 🙂🙂
Hahahahah lazma umtie adabu na raha ya adabu aipate by suprise 😅😅😅~ hanfrey pole poleKuacha tuna achwa, ila unahakikisha anae kuacha, anashukuru Mungu, kuwa kafanikiwa kukuacha, na hatakiwi kukuacha kwa utovu wa nidhamu, unatakiwa kuacha kwa heshima.. yani ile heshima inakuwepo
Kweli ulivurugwa mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] na mie ningewabutua , leo kichwa ilikuwa na mzuka
Kuna msemo unasema 'usiku hata jongoo huwa linang'ata.Kwa hiyo tunakubaliana kuwa usiku ndio muda mzuri kwa trips..
Kwa leo, ukweli nilizamilia lolote kuanzia Trafic, tochi etc.. na cha ajabu na vurugu zote sijapigwa mkono hata sehemu moja, na kwa leo tu nimetembea km 957 bila unoko 😀😀Kweli ulivurugwa mkuu
Ile chuma sini 5.6L V8 heheheh sema lina 400HP plus lazma watambue utawala huko highwayHio Y62 V8 achana nayo. Best friend wangu anayo huwa tukipiga trip huwa ananikabidhi niwanyooshe 😂😂😂