Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usije tu kuwa kama Holy man speed 180 anasema nitaenda speed ndogo 180tu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Speed kubwa kwangu ni kuanzia 100.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwendo wa Chama huo 😅😅😅
 
😀😀😀 leo kidogo nibutua ng'ombe nipo 200kmh, kundi la ng'ombe hilo barabarani.. duh! Nilichofanya nilikanyaga mafuta zaidi kuwa time.. nikavuka.. nipo sehemu nimakosa kundi la watu.. wanacheza road.. yaani.. leo nilikuwa kama na msafara wa rais kwa speed haipoi..
Hahahahah eeh sometimes ujasiri unahitajika mzee 😅😅😅!!! Kuna siku nilikuwa napanda kilina naiona FAW ile inashuka nayo nikakaza roho pembeni kuna semi 2 ikabidi nipige odd off nikaiwasha nilizikata chap nirudi kushoto 😅! The worst bet i ever made on road.

Una option u break ugongwe au ukaze mguu uwawahi 😅😅😅
 
😀😀😀 leo kidogo nibutua ng'ombe nipo 200kmh, kundi la ng'ombe hilo barabarani.. duh! Nilichofanya nilikanyaga mafuta zaidi kuwa time.. nikavuka.. nipo sehemu nimakosa kundi la watu.. wanacheza road.. yaani.. leo nilikuwa kama na msafara wa rais kwa speed haipoi..
Hao unaweza kuta sio watu 😎😎
 
Inakera hasa kama una ndege ya chini na sheli sio ishu😅😅😅!!! You gotta feel those horses giving your the momentum! Hasa long trip ukutane na wenzio wamepagawa pia loh ni mwendo tu kama mko race track hamna mtu anataka unyonge😅 ndio maana Holy Man hataki gari zisizo na kifua!
Hahaa kuna watu wana allergy na Low speed
 
Uko vizuri mkuu. Natumia Nissan Fuga 350XV.

3.5L V6

Hao mabig bro nakula nao sahani moja mwanzo mpaka mwisho wa safari. Watanizidi kwa kufukia matuta tu. Au kama wakitembea zaidi ya 180 kwa muda mrefu, maana I am limited to 180kmph nikiwa 4000rpm
Wale wahuni wanapigaga 240KPH so swiftly maana hawana destructions na matuta wanayafukiaga tu 😅😅😅
 
Back
Top Bottom