Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kabla ya hii trip nimesolve taa zote za dashboard.

Check engine ilikuwa kwasababu ya post-cat heated oxygen sensor. Gari ilivyokuwa chini inaonekana ilipiga ardhi pale connector harness ya sensor pakapasuka na waya kukatwa. New sensor nikaclear code kwa kale ka mashine kangu ka $10 check engine haijarudi tena

Fuga zina ujinga mmoja kukiwa na weakness yoyote kwenye braking system ina disable traction control, wanaita VDC (Vehicle Dynamic Control) na kuwasha taa za VDC OFF na SLIP. Ikiwa kwenye hii situation ukikanyaga hovyo linadrift na kuteleza, though its fun [emoji23][emoji23]. Nilicheki pads ziko fresh, kumbe mafuta ya breki yalikuwa nusu - hata sio low. Kujazia mpaka kwenye max taa zikazima after some driving.

Gari ikiwa na clean dashboard inaleta imani kidogo, sio christmas lights kama za wajerumani Cc Extrovert

Mm nahili tatizo la break sasa hivi dashboard kama Christmas tree
 
Jana wakati natoka arusha kuja dar nimekanyaga accelerator mpaka kisigino kikafa ganzi.

Njia Panda mpaka Mombo nimetembea 140 - 150. Napunguza kupanda tuta au kwenye kona.

Segera to Dar nimetembea 100 - 120.

Niliondoka Arusha saa 6 mchana nimeingia dar saa 2.00 usiku.

Lucky enough sikusimamishwa na polisi.

Uwe unatumia Cruise Control. Unakanyaga Halafu unaset unaachia accelerator. Mzigo unatambaa wenyewe
 
Back
Top Bottom