Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mbebe .Dah
Nikisema nichangie mada itabadilika hapa. Halafu siyo vizuri.
Una road trip lini boss? Few days to come nitakuwa kwenye ka trip flani vipi nikubebe?
Haki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chukulia kama ajali badala nikate kushoto nimekata kulia
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Na za kurogaPole sana...hapo ni binadamu mmoja mwenye sifa za kujua kusoma na kuandika ndiyo anasababisha adha kwa watumiaji wwngine wa barabara..
....pia ni walogaji wazuri..[emoji38]Na za kuroga
Duh kazi ipoAcha utoto
Tuzeni afya narudia maranyingi watanzania huficha maradhi
Unakiliwazi kwamba ulimwona Dada ako sijui mdogowako anakonda kumbe mgonjwa figo
Inamanisha wewe nafamilia yako mliaza kumwona mwezenu anakonda hizo external factor
Lakini yeye usikute miaka yote anaumwa ila anameza dawa zakuondoa infection mwilini
Shida yetu ikohivi mgonjwa husika akiwa tayari ana experience malanzi mwlini mwake hufanya sirisana ndg tunaaza kujua mfano anakonda alivokua ananenepa mlimsifia
Kumbe ananenepeana mwili unashida na yeye ndo anajua
Sasa msamaha wangu naufuta nakwamungu siombi
Tubadilike ,japokua mada haikuhusu magonjwa mbalimbali
Niligusia kwakusema MTU unalalamika kukaa sehemu moja lisaa limoja,nikatoa mfano huo
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Jiangalie, unibebe!!Dah
Nikisema nichangie mada itabadilika hapa. Halafu siyo vizuri.
Una road trip lini boss? Few days to come nitakuwa kwenye ka trip flani vipi nikubebe?
Umeandika nini? Hebu nisomee kwa sauti.Jiangalie, unibebe!!
sidhani umechoka kuheshimiane
Trip napiga zaidi yako ila sio kunibeba tafadhari mkuu
Ulivokuja Leo tumepishana pahala hujui tu
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Hahaaa kuendeshwa kwenye shangingi si mchezo mkuu huku wenzio wakichomeshwa mahindi road kwa sababu yako....pia ni walogaji wazuri..[emoji38]
[emoji38][emoji38]viongozi wetu wa bongo ushamba unawasumbua...Hahaaa kuendeshwa kwenye shangingi si mchezo mkuu huku wenzio wakichomeshwa mahindi road kwa sababu yako
Kuna mtu hapo juu alitaka kuchafua uzi, ila nashukuru wengi wamemjibu kwa hekima...[emoji4][emoji4]uzi ulitekwa huu na maharamia wa kisomali
Ila acha tu....ukiendesha au ukipanda ile midude unajisikia tofauti....[emoji38][emoji38]viongozi wetu wa bongo ushamba unawasumbua...
Wakishakaa ndani ya v8, wanatuona sisi wengine ni chawa tu..
Kama yule anayetuambia tuhamie Burundi...[emoji85][emoji85][emoji38][emoji38]
Kumbe huwa wana rogaNa za kuroga
Jamaa kalewa yule na kama hajalewa basi yupo na hangover maana sio kwa muandiko ule.Kuna mtu hapo juu alitaka kuchafua uzi, ila nashukuru wengi wamemjibu kwa hekima...[emoji4][emoji4]
Sijui ni tozo ndiyo zinalera matatizo yote haya..[emoji38][emoji38]
Merci beaucoup 💃Bon voyage
Hahaaa anaandika kama bata kapita.Jamaa kalewa yule na kama hajalewa basi yupo na hangover maana sio kwa muandiko ule.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hahaaa anaandika kama bata kapita.