Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Acha utoto
Tuzeni afya narudia maranyingi watanzania huficha maradhi
Unakiliwazi kwamba ulimwona Dada ako sijui mdogowako anakonda kumbe mgonjwa figo
Inamanisha wewe nafamilia yako mliaza kumwona mwezenu anakonda hizo external factor

Lakini yeye usikute miaka yote anaumwa ila anameza dawa zakuondoa infection mwilini
Shida yetu ikohivi mgonjwa husika akiwa tayari ana experience malanzi mwlini mwake hufanya sirisana ndg tunaaza kujua mfano anakonda alivokua ananenepa mlimsifia

Kumbe ananenepeana mwili unashida na yeye ndo anajua

Sasa msamaha wangu naufuta nakwamungu siombi

Tubadilike ,japokua mada haikuhusu magonjwa mbalimbali
Niligusia kwakusema MTU unalalamika kukaa sehemu moja lisaa limoja,nikatoa mfano huo

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Duh kazi ipo
 
Dah
Nikisema nichangie mada itabadilika hapa. Halafu siyo vizuri.

Una road trip lini boss? Few days to come nitakuwa kwenye ka trip flani vipi nikubebe?
Jiangalie, unibebe!!
sidhani umechoka kuheshimiane
Trip napiga zaidi yako ila sio kunibeba tafadhari mkuu
Ulivokuja Leo tumepishana pahala hujui tu



Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Hahaaa kuendeshwa kwenye shangingi si mchezo mkuu huku wenzio wakichomeshwa mahindi road kwa sababu yako
[emoji38][emoji38]viongozi wetu wa bongo ushamba unawasumbua...
Wakishakaa ndani ya v8, wanatuona sisi wengine ni chawa tu..
Kama yule anayetuambia tuhamie Burundi...[emoji85][emoji85][emoji38][emoji38]
 
Soon kinawashwa...
Dom see you tonight

IMG_20210723_165234_817.jpg
 
Kuna mtu hapo juu alitaka kuchafua uzi, ila nashukuru wengi wamemjibu kwa hekima...[emoji4][emoji4]
Sijui ni tozo ndiyo zinalera matatizo yote haya..[emoji38][emoji38]
Jamaa kalewa yule na kama hajalewa basi yupo na hangover maana sio kwa muandiko ule.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom