Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Usafiri halafu ukalale cheap lodge unakuwa umejinyima sanaa.. huwa nikisema natwanga trip kwa burudani au kama nina stress.. pa kulala ni nyota nne au tano.. hata kama sina hela nilale pazuri sanaa na mazingira mazuri machoni na mwili.
 
Hapo ni sifa na mpira.

Wewe si unahobby ya kusafiri ,fanya kusaifiri Kama yeye tuone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tayari wewe ni tajiri,hako kalaki tano hadi umejichanga wewe siyo masikini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo laki tano naenda dizonga au

Nimesema laki na hata kuiona laki ni kubwa basi nayo ni dalili mojawapo ya umasikini

Maana kwa uchumi wetu wa sasa hivi laki siyo pesa hata kama kuna watu wanashindwa kuipata maana hata hiyo dola moja kuna watu wanashindwa kuipata lakini bado hauwezi ukasema ni kubwa eti kwa kuwa kuna watu wanashindwa kuipata
 
Oh ni kweli unaweza save hata miaka kumi.

Na ukishaweza kusave hiyo pesa uliyoitaja na ukasafiri ,tayari wewe unajiweza na umeweza kumudu hitaji la kusafiri.
In maana wewe si masikini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuiona laki kubwa ni dalili ya umasikini sawa..
Vivyohivyo kuiona laki ndogo tayari ni dalili ya utajiri.

Kumbe wewe tayari si masikini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza ukavaa kujisitiri na ukapendeza.
Na ukishaweza kununua nguo na hautembei uchi tayari wewe si masikini.


Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanapenda kuvaa na kuna watu wanavaa ili mradi tu kujisitiri

Ukiweza kununua nguo na ukabakiwa na hela ya kufanya maendeleo na kuweka akiba ndiyo wewe ni tajiri

Lakini kama ukinunua nguo basi unabaki ya hela ya kula tu wewe ni masikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…