Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ukiwa na maana ya plate number mkuu!...
Ndio, Plate number mkuu
IMG-20201211-WA0037.jpg
 
Shukrani.... merry chrismas nawe. Karibu Arusha.

Asante, ntatokea huku German air na double R ntakuja nae.

Najua atanuna baada ya mimi kumuachia vumbi na manual gear yangu toka Mombo hafi A’ Town😅😅😅.

Nabet nae nani atafika Arusha wa kwanza.

cc: RRONDO
 
Back
Top Bottom