Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Mweeh!! Mie na trouble wapi na wapi.Trouble upo? Yule mtoto wako pasua kichwa yupo?
Yupo kajaa tele, kaolewa na mchungaji wako huko duniani wanasambaza injili.
Sasa hiyo trip yenu hamuhitaji wa kuwasindikiza?