Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nawafahamu.

Nina marafiki wengi na ndugu wapo kwenye huo mrengo.

Nimesoma shule zao.

Wanapelekeana moto kuliko nyie wa mitaani.
Je ni wote wanafanya hivyo?
Ukiachana na hilo kundi,kuna watu mbona wanaishi vizuri tu hapa duniani bila hiyo kitu.

Ulishawahi sikia mtu ameweza kuishi bila kula chakula?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Holy man na Saint annie hawataki kunyamaza [emoji126]

Ila samahani sana wapendwa. Maana tumevuruga kama page 3+ [emoji120]
Wote tuliovuruga tupewe kesi ya ugaidi wa uzi[emoji40][emoji40]
Ila mimi tangu jana niliomba radhi,tatizo wadau mliendelea kunishawishi.

Samahani wadau wote tuliowakwaza[emoji120][emoji120],nipo chini ya miguu yenu kwa niaba ya wavamizi na maharamia watekaji wa uzi,mtusamehe bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote tuliovuruga tupewe kesi ya ugaidi wa uzi[emoji40][emoji40]
Ila mimi tangu jana niliomba radhi,tatizo wadau mliendelea kunishawishi.

Samahani wadau wote tuliowakwaza[emoji120][emoji120],nipo chini ya miguu yenu kwa niaba ya wavamizi na maharamia watekaji wa uzi,mtusamehe bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutumieni petrol lita 5 kwa kila mmoja wetu, msamaha upite...

Tutie kwenye gari...hatuendi kuchomea wapenzi..[emoji38][emoji38]
 
Kuna siku washaniharibia safari,ile naanza wenge tu hawa hapa,nikajisemea hapa hapa dar naanza na mambo ya kuandikiwa vyeti,kufika misugusugu pambavu wengine tena wanakuonyeshea na picha kabisa ya speed yako waliotumiwa na mshashi anaepiga tochi,nikaona isiwe tabu ikabidi niwe mdogo tu safari yote,maana wanaweza kukufilisi wale jamaa
Jamaa wakikuamulia unaweza ukatamani kurudi nyumbani ulale
 
Don Town.
Holy Man Leo nimepita kwenye Ile bustani Posta.
IMG_20210729_133438509.jpg
IMG_20210729_133256542.jpg
 
Habari za kazi wakuu. Kuna mtu humu ndani ana real experience ya VW tiguan. Nataka nijue mtazamo wake interms of reliability (frequency ya kuharibika), comfortability, fuel consumption, road stability yake kwene long trips and maintenance costs.

Nataka nichukue VW Tiguan LEISTUNG ya 2011.

 
Kama upo mjini una hamu ya kumaliza kisahani nenda kibaha pale mizani ya zamani, njia 3 zinapoanzia kurudi mjini. Wamezifungua zote.

Kitu mserereko usio na kifani. Nimepita hapo sahivi.

Ila upite usiku wakiwa wameshalala.
Mtagonga wapita njia nyinyi! Kuna sista mmoja namfahamu mume wake kagongwa hapo wiki kama mbili zilizopita! Ilikuwa usiku
 
Back
Top Bottom