Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wale wanaotumia Morogoro road mjipange na tochi kwenye hii super high way yetu. Nimekutana na jamaa wa tochi hapo baada ya St. Jospeh kabla ya Mbezi.
Hapo wataokotwa wengie sana.. maana watu wanajiachia vibaya.. na lengo lao kukusanya pesa hapo.. siku hizi nimeona wanategea maeneo ambayo ni lazima goti likunjuke.. uzuru hizi siku za karibuni wananibutua tochi ila mwendo wanao nikuta nao huwa wanachoka wenyewe.. nalipa 30, ile kiroho safi
 
Ndiyo kuna wenzako huwa wanataka kila siku

Anakuambia kwake ni kama chakula yaani kutwa mara tatu

Sasa wewe kama una uwezo wa kuvumilia hadi mwezi mzima basi wewe kwako sex siyo kama ulivyokuwa unaiongelea hapa jana sasa jaribu kukaa mwezi mzima bila kula kabisa tuone
Kula nakula, ila ukiweka chakula hapo na sex naanza sex ndio inafatia chakula
 
Back
Top Bottom