Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Tutumieni petrol lita 5 kwa kila mmoja wetu, msamaha upite...

Tutie kwenye gari...hatuendi kuchomea wapenzi..

Naunga mkono hoja. Hawa wachafuzi wa uzi wapigwe 'ndamlo' ndipo msamaha upite... wese Lita 5 impate kila mwenye mkoko kwenye uzi huu.

Kwa wenzagu na mie wenye baiskeli, tupewe sneaker CONVERSE pair moja moja 'tukaoshee' kitaa na bike zetu... 😎

-Kaveli-
 
mkuu hofu yangu ni kwene reliability na je inahitaji ile extra care au unaeza kuburuza kama toyota?
Maana nataka kuchange from toyota baada ya wezi kunitenda taa, side mirror, power window, dashboard, control box etc

View attachment 1873884
Needs extra care,not as reliable as Toyota. Pole kwa majanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…