Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Mitatu kutoka leo, athletes crown nitakuwa kama GX 100 zilivyo leo hii..
Muda unakimbia Sana, kwangu Mimi Toyota Cresta Gx 100 naona ni moja ya Sedan bora kutokea na imara Kwa gari za Japan. Likiuzwa Kwa bei kama zile za Balloon za laki 8/9 ni Bora niwe nalo hata kama litawaka jumapili Tu.
 
Muda unakimbia Sana, kwangu Mimi Toyota Cresta Gx 100 naona ni moja ya Sedan bora kutokea na imara Kwa gari za Japan. Likiuzwa Kwa bei kama zile za Balloon za laki 8/9 ni Bora niwe nalo hata kama litawaka jumapili Tu.
Chuma hiko ninacho, marafiki wananilazimisha niwauzie,wengine niwaachie nawaambia nitauza gari zote sio hio. Inatembea jumapili tu. Naitunza hadi iwe classic
 
Jana nimetembea km 1236, Nashukuru Mungu nimefika salama, japo nilikutana na mvua, ilinichelewesha kidogo kwa sababu ilibidi nitembee speed ya kawaida kwa saa kama moja, baada ya hapo moto mkubwa. Niliondoka saa 12.30 asubuhi, saa 11 jioni nilikuwa home tayari. Kutoa tukio la mvua I enjoyed the ride. Nasubiri tena tarehe 2 mwakani kurudi maskani ya pili. Uzuri wa bike sijasimamishwa na trafic njiani
 
Jana nimetembea km 1236, Nashukuru Mungu nimefika salama, japo nilikutana na mvua, ilinichelesha kidogo kwa sababu ilibidi nitembee speed ya kawaida kwa saa kama moja, baada ya hapo moto mkubwa. Niliondaka saa 12.30 asubuhi, saa 11 jioni nilikuwa home tayari. Kutoa tukio la mvua I enjoyed the ride. Nasubiri tena tarehe 2 mwakani kurudi maskani ya pili. Uzuri wa bike sijasimamishwa na trafic njiani
Duh uko vizuri...
 
Back
Top Bottom