Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] miaka Mitatu kutoka leo, athletes crown zitakuwa kama GX 100 zilivyo leo hii..Na wale wanao uza Toyota Corolla 100/110. Kwa million 4 mpaka 3. Tunasubiri namba E ifike tuweke dau la laki 8 kisha nazuga kama naondoka kumbe nasubiri jibu la muuzaji.
Muda unakimbia Sana, kwangu Mimi Toyota Cresta Gx 100 naona ni moja ya Sedan bora kutokea na imara Kwa gari za Japan. Likiuzwa Kwa bei kama zile za Balloon za laki 8/9 ni Bora niwe nalo hata kama litawaka jumapili Tu.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Mitatu kutoka leo, athletes crown nitakuwa kama GX 100 zilivyo leo hii..
DUV mkuu ukiizoom vizuri..Duh mm naona hiyo BMW km ni DVV au macho yangu? mpaka tunamaliza January 2021 tutakuwa nayo DVW sijui sisi wenye A... tutamuuzia nani
Chuma hiko ninacho, marafiki wananilazimisha niwauzie,wengine niwaachie nawaambia nitauza gari zote sio hio. Inatembea jumapili tu. Naitunza hadi iwe classicMuda unakimbia Sana, kwangu Mimi Toyota Cresta Gx 100 naona ni moja ya Sedan bora kutokea na imara Kwa gari za Japan. Likiuzwa Kwa bei kama zile za Balloon za laki 8/9 ni Bora niwe nalo hata kama litawaka jumapili Tu.
Duh uko vizuri...Jana nimetembea km 1236, Nashukuru Mungu nimefika salama, japo nilikutana na mvua, ilinichelesha kidogo kwa sababu ilibidi nitembee speed ya kawaida kwa saa kama moja, baada ya hapo moto mkubwa. Niliondaka saa 12.30 asubuhi, saa 11 jioni nilikuwa home tayari. Kutoa tukio la mvua I enjoyed the ride. Nasubiri tena tarehe 2 mwakani kurudi maskani ya pili. Uzuri wa bike sijasimamishwa na trafic njiani
Mimi nipo darTunapishana.
Karibu LindiDuh nasikitika nilitenga siku chache kukaa Arusha! Nimepapenda
Lindi Christmas?????Karibu Lindi
HongeraMimi nipo dar
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] miaka Mitatu kutoka leo, athletes crown zitakuwa kama GX 100 zilivyo leo hii..
Chuma hiko ninacho, marafiki wananilazimisha niwauzie,wengine niwaachie nawaambia nitauza gari zote sio hio. Inatembea jumapili tu. Naitunza hadi iwe classic
I dont believe it is a proper destination during X-MasHa ha ha mkuu kwani hakufai?
Kwa kuagiza haipishani bei na CrownHivi ikitoka japana mpaka kwa magufuli inagharimu kiasi gani.