Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
twende kazi. usiku huu. maisha mafupi. usiumize sana kichwaa.. niambie my Julieth ๐๐Hivi unajua bado nacheka kila nikiiona hii ID ... Nakumbuka ulichokisema ule uzi wa story kule... Sikutegemea kabisa ๐
Inasema, Unavua dar maandalizi pwani kisha mlo ni mji kasoro๐
Mzee baba 180kph with 1 hand uko na gears zake kabisa nn?View attachment 1825181after service, testing my beemer, with one hand taking video. hizo zinazosomeka juu ni MPH na chini KPH
๐๐๐๐ Nita improve uvuaji nianze kuvua papa na nyangumi nasikia watamu sanaInasema, Unavua dar maandalizi pwani kisha mlo ni mji kasoro๐
Usiogope naiandaa tu ili tuichape lami kweri kweri ๐คฃ๐คฃ๐คฃ hakikisha uko free tuMkurugenzi wa mabaharia wa nchi kavu ๐
Nataka siku lift yako..
Hahahaha hao nyama yao ina mecury sana, kula wale salomon tu๐๐๐๐ Nita improve uvuaji nianze kuvua papa na nyangumi nasikia watamu sana
Hahaha me sina usemi mpya hata... Nakuona tu baharia mwandamizitwende kazi. usiku huu. maisha mafupi. usiumize sana kichwaa.. niambie my Julieth ๐๐
itabido tuku recruit mkuu uanze na level za chini za ubaharia unatufaaa sanaaHahaha me sina usemi mpya hata... Nakuona tu baharia mwandamizi
Si ni auto? Miguu itakuwa ina'drive, mikono inanitolea biscuit kwenye box ๐Usiogope naiandaa tu ili tuichape lami kweri kweri ๐คฃ๐คฃ๐คฃ hakikisha uko free tu
Eehwaa! Huduma hizo zinapatikana kabisa tulips tuwe mkabala tu๐Si ni auto? Miguu itakuwa ina'drive, mikono inanitolea biscuit kwenye box ๐
usisahau kimini chini ya magotu. rules namba moja uwapo kiti cha mbele ๐๐Si ni auto? Miguu itakuwa ina'drive, mikono inanitolea biscuit kwenye box ๐
Huo mtambo ni wa JDM?
Muhimu sana, kitaalamu tunaita Catalyst ๐usisahau kimini chini ya magotu. rules namba moja uwapo kiti cha mbele ๐๐
Usianze kunifundisha tabia ngumu ngumuitabido tuku recruit mkuu uanze na level za chini za ubaharia unatufaaa sanaa
Mmenikosa ๐ me ni madera tu ๐usisahau kimini chini ya magotu. rules namba moja uwapo kiti cha mbele ๐๐
tulia wewe ๐๐Usianze kunifundisha tabia ngumu ngumu
Mzee unaismash pedal haswaa, sikuonaga hiziBeyond 180Kph, night speed, [emoji3544]
Movement za object nyingine uelekeo huo huo zinakuwa kama hazijongei.
Safely arrived at 3rd destination.View attachment 1830317
Itabidi ujifunze ku twin na baharia sasa๐Mmenikosa ๐ me ni madera tu ๐
kabaharia kadogo haka.. tumkabizi Offshore Seamen akape kozi ya kuanziaItabidi ujifunze ku twin na baharia sasa๐
Seamen ni mkali wa maji bila shakakabaharia kadogo haka.. tumkabizi Offshore Seamen akape kozi ya kuanzia