Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Eneo hili kuna matrafic wadada hivi kila nikipitaga hapo nikiwa zangu Masafa hunipiga chet kwa sababu ya Kuzidisha speed, awamu ijayo wakinipiga mkono tena napanga niombe Namba, Shachoka mie
Yaani zaidi ya mara 1 na hawajawa maswahiba tu? Na risiti ya 'kubetishwa' inakuachia na jina lake kabisa, yaani ilipaswa safari iliyofuata ukisimamishwa tu salamu na kuwaulizia kwa jina iwapo hayupo kama yupo unamuadress kwa jina straight umsalimiapo. Hii inasaidia kumkata maini anaona aah kumbe tupo wote road huyu, unawaachia hela ya brush mwendo
 
Unapita Kwediboma unaenda hadi Kibirashi unakutana na Junxtion ya kukupeleka Kiteto uko sahihi mkuu
Lakini pia unaweza kwenda moja kwa moja hafi Kilindi mjini ukapitia vijiji vya Mafulila ukatokea Gairo
Vumbi la huko sio la kitoto. Wakati wa mvua ni hatari. Basi zinatoka dar saa 12 asubuhi zina fika kilindi sita usiku. 120km handeni - kilindi vumbi.
 
+1,Naongeza mwaka mwingine nikiwa road.
Trip yangu ni nzuri .
UMENIBARIKI Mungu [emoji3059][emoji120]
Hbd to me .

Nyang'oro,U_turn za kutosha hadi raha gari inavyokunja hizi kona.
20210621_075220.jpg
20210621_091134.jpg
20210621_085111.jpg
IMG-20210621-WA0018.jpg
 
View attachment 1824969
Chogo-Handen

Kuna watoto wakali mchanganyiko Somali na wazigua

Ningekuwa kidume leo ningelala hapo[emoji28][emoji28]

Ila nimeshangaa mpaka karne hii kuna maeneo hayana shule kabisa na watoto wanakuwa bila kujua kusoma wala kuandika
Nani anipe kampani twende chogo-handeni kwa machotara
 
Back
Top Bottom