Naaam........ huyo kweli ndo mwamba,si jambo dogo kujilipua kununua hiyo machine,maana muundo wa gari haufanani na beiKuna mwamba kashusha Golf 7 R
Mkuu naona umerudia kuusoma uzi toka chini kabisa😁😁😁Mzee unaismash pedal haswaa, sikuonaga hizi
Eeh ilinipita wakati Mods wameniweka kabatini ikabidi uzi urudiwe urudiweee😂Mkuu naona umerudia kuusoma uzi toka chini kabisa😁😁😁
Hio bei unaiona ndogo mkuu! Likipigwa extras bei inaweza fika hata USD 90K kisha ukiweka na import duties linafika almost 400M.Sasa lile la mkurugenzi la milioni 400 ilikuwaje?
Kodi tu ni bei ya nyumba 😂 108M hio ukiweka na zile usd 85K ni kama unaweka 197M juu!
Nimemsoma 😅 atakaa mahali pake soon😎Umeombwa lift mkuu jiongeze 😂😂
Sema nimecheki Sahara ni kipengele! Katika Cruiser zote kodi ya Sahara sio mchezo😂Kuwaza nyumba ni uoga wa maisha....chukua ndinga uweke heshima mjini 😂😂
Sijambo.Marhabaa chaurembo hujambo
Naona upo mjini hata hatuonani mtt mzurSijambo.
Nipo mwingi tu.Naona upo mjini hata hatuonani mtt mzur
Ndio maana mimi napendelea Prado! Nimeona hata balozi wa USA [emoji631] hapa nchini ni mwanachama mwenzangu wa Prado! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema nimecheki Sahara ni kipengele! Katika Cruiser zote kodi ya Sahara sio mchezo[emoji23]
Volvo XC90 anayo hiyo 360 camera toka 2015!hapa hapa Dar tu mkuu kitu namba DWW 😎😎😎 zina ka satelite mkuu.. gari sijui kuna nini unaiona 360° unaiona kila mahala.. ila nimeboreka ile gari kuipa 260kmh wamefanya ukatiri kabisa
Ngarasero nililzaga hapo 70series kipimdi cha Babu wa Loliondo. Ule mchanga sio poaNilipiga mzinga kaka kipande ya ngarasero to waso km waenda loliondo brbr ni changamoto haswa[emoji119]sema wee utaenjoy maana waishia ngorongoro full lami.
Ile chombo ya fundi ilishawasili kumbe😂Leo nimetoa nuksi kwa kuendesha VXR ya kwanza 😎😎
Balozi akiwa mjini anatumia BMW X5.Ndio maana mimi napendelea Prado! Nimeona hata balozi wa USA [emoji631] hapa nchini ni mwanachama mwenzangu wa Prado! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]