Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Na mimi malengo yangu ya kumiliki Prado ni hayo,Balozi akiwa mjini anatumia BMW X5.
Akienda mikoani anatumia LC200 na Prado.
Siyo unanunua gari alafu ukitaka kwenda mkoani unaanza kufukuzana na wapiga debe ubungo