Na mimi malengo yangu ya kumiliki Prado ni hayo,Balozi akiwa mjini anatumia BMW X5.
Akienda mikoani anatumia LC200 na Prado.
Kwamba akiwa na chuma ya mkoloni hataweza kupiga nayo trip za mkoaKwanini sasa ufukuzane na wapiga debe ubungo? Bovu?
imewasili mzee baba.. pesa inasema lugha nyingi sana 😂😂Ile chombo ya fundi ilishawasili kumbe😂
Mie ndio mala ya kwanza nimeitumia kwenye hilo gari la watu.. acha na niendelee tafuta pesa na mie nipate gari zuri kama hayoVolvo XC90 anayo hiyo 360 camera toka 2015!
Kwamba sisi tulionazo tukitaka kwenda mkoani tunapanda Kilimanjaro express? Kama unaweza kununua Prado anayotembelea balozi huwezi kuwa na gari moja kiasi ikizingua upande bus kusafiri.Kwamba akiwa na chuma ya mkoloni hataweza kupiga nayo trip za mkoa
Unafikiri balozi mpaka anaenda na Prado mkoani alafu anaacha benzi ofisini hana akili?Kwanini sasa ufukuzane na wapiga debe ubungo? Bovu?
so wanao enda na benz mikoani hawana akiliUnafikiri balozi mpaka anaenda na Prado mkoani alafu anaacha benzi ofisini hana akili?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fanya twende nayo Dom trip sasa😂 tukaitoe mafuaimewasili mzee baba.. pesa inasema lugha nyingi sana 😂😂
😁😁😁 na mambo ya viwango lazima yazingatiweFanya twende nayo Dom trip sasa😂 tukaitoe mafua
😂😂😂 kwa mujibu wa maelezo ya jamaaa ni kwamba hazipoDuh mimi nilikosa cha kujibu. Nikabaki najiuliza nina akili au sina 😀😀😀
Aaah hio lazima mzee sema uzuri tutatundika ilani kwenye dashboard na kabendera ka chama mbele 😂😂😂 ni mwendo wa 240kph tu hakuna kusimama ukitokea msafara tunaunga nao!😁😁😁 na mambo ya viwango lazima yazingatiwe
Wanaenda hadi kijijini sitimbi?so wanao enda na benz mikoani hawana akili
umekalili brother.. 🙂🙂🙂Wanaenda hadi kijiji sitimbi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo kukalili bro ndio uhalisia!umekalili brother.. [emoji846][emoji846][emoji846]