Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Siyo kukalili bro ndio uhalisia!

Gari kwa tz lazima uzingatie barabara zetu ndio maana balozi anacha benzi lake ofisini anabeba Prado kwenda nalo site.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu uache kukariri.

Kuna benzi nimepiga nayo sana safari za mkoa.

Week 2 nyuma nimepiga nalo dar arusha, na kuna bmw nayo ilikuwa kwenye convoy.

Hizo mbona gari za kawaida sana boss?
 
Sijawahi kuosha gari yangu dah! Naonaga kazi sana. Plus ubachela huu ni mwendo wa car wash tu.

Rangi nyeusi ya kishenzi sana ikitoka car wash inakuwa inanata ukisogea km1 tu ishajaa vumbi! Plus kufuta vumbi naona upotevu tu wa muda so gari chafu nje almost 24/7. Ingia ndani sasa....[emoji39][emoji39][emoji39]

Watu wakiniambia gari chafu nawajibugi kwa kuwauliza mi nakaa ndani au nje ya gari?
 
"Ingia ndani Sasa[emoji39][emoji39]"
Mwisho wa kunukuu
 
Haha vumbi ikijaa si raia wanaigeuza ubao? Likely nioshe nyingiii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…