Wazee wa โ€˜Road Tripโ€™ mpo?

noted, nitawakilisha maana huwa nakuwa kama nafanya patrol asee.. ila kidimbwi huwa pa kumalizia maana huwa ni [emoji91][emoji91][emoji91] kuna matoto mazuri kama yamejiumba au yalimpa muumbaji prototype namna yawe ๐Ÿฅธ
Wakilisha kaka panachangamka,ukienda kidimbwi ni unafunga biashara kabisa kwa wale ambao ni nomads kama mimi, pale kuna balaa zito sana hasa siku ya leo,siku nikirudi town lazima nisogee hapo, viwanja vyangu hivyo, great night aisee
 
Nakushusha katiksti ya Pori afu nakurudiahia hela yako
 
noted, nitawakilisha maana huwa nakuwa kama nafanya patrol asee.. ila kidimbwi huwa pa kumalizia maana huwa ni [emoji91][emoji91][emoji91] kuna matoto mazuri kama yamejiumba au yalimpa muumbaji prototype namna yawe ๐Ÿฅธ
Jumapili kidimbwi ndio penyewe. Mwisho wa matatizo yote yanayohusiana na uvuvi haramu na halali
 
Jumapili kidimbwi ndio penyewe. Mwisho wa matatizo yote yanayohusiana na uvuvi haramu na halali
Vijana mnayaweza mambo yenu.

Mi starehe za kelele sizitaki.

House party ndo nazifanya sana.

Nachoma nyama, nanunua drinks za kutosha, naita washkaji kama 5 mpaka 10.

Tunakula na kunywa, kama kuna match au movies tunaangalia wote. Ikifika saa 2 usiku kila mtu kwake.

Haya ya vidimbwi nadhani yalishanishindaga kitambo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ