Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fainali u.....[emoji23][emoji23][emoji23]
Unajionaje? Ikifika saa 3 unautamani mto?Unataka kusema na mimi nimeshafika fainali?
Wakilisha kaka panachangamka,ukienda kidimbwi ni unafunga biashara kabisa kwa wale ambao ni nomads kama mimi, pale kuna balaa zito sana hasa siku ya leo,siku nikirudi town lazima nisogee hapo, viwanja vyangu hivyo, great night aiseenoted, nitawakilisha maana huwa nakuwa kama nafanya patrol asee.. ila kidimbwi huwa pa kumalizia maana huwa ni [emoji91][emoji91][emoji91] kuna matoto mazuri kama yamejiumba au yalimpa muumbaji prototype namna yawe 🥸
Mimi ndo naingia small planet sahizi [emoji23][emoji23]Gari ina full tank,kwenye wallet bundle ya maana,simu ina salio la kutosha ila weekend saa nne nawahi home sina hamu ya starehe!
Nakushusha katiksti ya Pori afu nakurudiahia hela yakoPunguza speed kaka hujabeba gunia za carrot humu...
Punguza sauti ya radio/ mziki
Washa AC jamani joto litatuua
Fungeni vioo upepo unatuumiza
Kama nyimbo zako zenyewe ndio hizo zima Bluetooth yako niwashe hii yangu.
Tunasimama wapi kula jamani we kaka njaa zinauma
Pale Himo hawana vyakula vizuri bana tafuta sehemu nyingine
Tunakula nusu saa na kupumzika. Usituwahishe sana
Nk nk [emoji23]
Jumapili kidimbwi ndio penyewe. Mwisho wa matatizo yote yanayohusiana na uvuvi haramu na halalinoted, nitawakilisha maana huwa nakuwa kama nafanya patrol asee.. ila kidimbwi huwa pa kumalizia maana huwa ni [emoji91][emoji91][emoji91] kuna matoto mazuri kama yamejiumba au yalimpa muumbaji prototype namna yawe 🥸
Kistaarabu haiwezekani mkuu ulishakubali kumbeba kwa ile pesa [emoji23][emoji23]Nakushusha katiksti ya Pori afu nakurudiahia hela yako
Unajionaje? Ikifika saa 3 unautamani mto?
Kistaarabu haiwezekani mkuu ulishakubali kumbeba kwa ile pesa [emoji23][emoji23]
Cha kufanya ni kuongeza sauti ya muziki na kumwaga moto mpaka akae kimya kwa kihoro au aombe mwenyewe kurudishiwa hela ashuke.
Its one of those days. Piga trip moja chap urestart ubongo, utakuwa sawaKuna ka movie namalizia la sivyo ningeshaangusha kitambo
Sina vibe kabisa na mute calls tu
Watu wanatapika mi sina habari namwaga moto tu [emoji23][emoji23] kama na we ni mtapikaji njoo na mifuko kabisaKhaaa hata sitaki lift Zenu kama mambo Ndo haya
Huwa ni shida kufanya maamuzi pale, kila fish kanona... unaweza jikuta asubuhi unaondoka bila kitoweo 😂😂 maana ku fail kufanya maamuzi ni dk sifuri tuJumapili kidimbwi ndio penyewe. Mwisho wa matatizo yote yanayohusiana na uvuvi haramu na halali
twende kesho usiku morogoro lift ya bure kabisaaa, alafu tunarudi jumanne asubuhi 😎😎Khaaa hata sitaki lift Zenu kama mambo Ndo haya
Option zikishakuwa nyingi lazima u paralyzeHuwa ni shida kufanya maamuzi pale, kila fish kanona... unaweza jikuta asubuhi unaondoka bila kitoweo [emoji23][emoji23] maana ku fail kufanya maamuzi ni dk sifuri tu
Nahisi.Ndio hizi za DMDP kwa ufadhili wa WB?
Hata mitaro wangeifunika kidogo.Ziko tight coz hawakutaka usumbufu wa kubomolea watu na fidia.
Vijana mnayaweza mambo yenu.Jumapili kidimbwi ndio penyewe. Mwisho wa matatizo yote yanayohusiana na uvuvi haramu na halali