Nakunywa ila sizipendelei sana. Bora ninywe desperados.
Savanna Kama nikinywa sikushiba ipasavyo? Aah uwa inanikomesha sana, chenji zitarudije [emoji23] eh
Inayoniumiza kichwa ni Smirnoff black ice nikizidi 5.
Tam sn hii[emoji123]Mimi ya kwangu wiki ijayo mapema. Dar Dodoma Babati Bashnet
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera sana siwezi hizo
Ila nimeacha pombe sijui nitaweza [emoji1787][emoji1787]
Cc Iso M.CodB
Saint Anne
Mimi ningetafuta watu walinyanyue tu.Ukiangalia tyre ya mbele hakuna nafasi ya kurudi nyuma, lakini tyre ya nyuma Kuna nafasi ya kwenda mbele japo ni kidogo mno. Hivyo tutaitumia nafasi hiyo kufanya kitu.
Nitakula wali Halafu ninywe nione inakuwaje.NI vitamu balaa ila ukitaka vikushughulishe kunywa wakati hujashiba vizuri au kunywa ukiwa ulikula wali... Ni utaelewa maana ya drink responsibly kwa mapana na marefu.
Yesumbee 😂 ni utatapika unless unywe chini ya 4. Ila eti ujikute unaipiga ile catton yake afu ulewe? Ni utajua hujui
Nitajaribu nione[emoji23]Yesumbee [emoji23] ni utatapika unless unywe chini ya 4. Ila eti ujikute unaipiga ile catton yake afu ulewe? Ni utajua hujui
Amefika. Ashuke aondoke.
Wamekupumzisha kilazima mkuu pole sanaMkuu sina trip sasa hivi. Trip zote zipo rejected ma junior wamezichukua. Safari zipo nyingi ila sasa dah nafasi hazipo za kutoka.. labda niamue mwenyewe na mpunga nitoe wangu mwenyewe hapo ndio panakana sitopata ubavu wa kwenda bambalaga 🥸🥸
Nikupe siku ngapi?Hongera sana siwezi hizo
Ila nimeacha pombe sijui nitaweza [emoji1787][emoji1787]
Cc Iso M.CodB
Saint Anne
Bashnet ni nini?Mimi ya kwangu wiki ijayo mapema. Dar Dodoma Babati Bashnet
Eneo lipo Babati huko. Ni ka mji ndani ndaniBashnet ni nini?
Oh me Bbt napitaga tuEneo lipo Babati huko. Ni ka mji ndani ndani
[emoji23]Amefika. Ashuke aondoke.
Kwanini panaitwa maji chumvi[emoji848]He's on the way to Idodomya... Safe trip Hamza [emoji41] [emoji1787]
Me bado nacheka [emoji23] na sielewi kinichekeshacho...
View attachment 1913062
Pamekauka mno nahisi ndio sababu.Kwanini panaitwa maji chumvi[emoji848]