Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Nakunywa ila sizipendelei sana. Bora ninywe desperados.
Savanna Kama nikinywa sikushiba ipasavyo? Aah uwa inanikomesha sana, chenji zitarudije [emoji23] eh
Inayoniumiza kichwa ni Smirnoff black ice nikizidi 5.