Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Leo wakazi wa mbezi na maeneo mengine wamelalamika kwa mkuu wa mkoa kuhusu ajali kwenye barabara mpya. Wanaomba serikali uchukue hatua kudhibiti watu kugongwa.
Niliwahi kusema hapa nikaambiwa ajali hata Manzese zinatokea!
 
Ukiweka daraja,umbali fulani unaweka fence. Atakaegongwa maanake karuka fence shauri yake
Nimeona shida ya watembea kwa miguu wengine kushindwa kuheshimu alama na mahala pa kuvukia. Kwa Kijazi wameweka fans kwenye sehemu ila wanapiga maboko ya kufa mtu raia wanao vuka upande mmoja kuelekea upande wa pili
 
Maeneo kama hayo wakigongwa shauri yao. Motorway ukikutwa unatembea kwa miguu ni kosa la jinai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…