Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,758
- 26,885
Kyerwa!Kagera huko kuna sehemu ni 2,749/-
Karagwe!
Miundombinu ya barabara sio rafiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kyerwa!Kagera huko kuna sehemu ni 2,749/-
Kwamba ni 'hatari' juu ya 'hatali' 😂Hatari juu ya hatali.. mikoani mwishoni huko wanaelekea 2600+
itabidi tuchape trip ya huko 😁😁Kagera huko kuna sehemu ni 2,749/-
yani ni danger juu ya dangerKwamba ni 'hatari' juu ya 'hatali' 😂
pale panahitaji elimu kwa watumia njia umuhimu wa vivukoLeo wakazi wa mbezi na maeneo mengine wamelalamika kwa mkuu wa mkoa kuhusu ajali kwenye barabara mpya. Wanaomba serikali uchukue hatua kudhibiti watu kugongwa.
Niliwahi kusema hapa nikaambiwa ajali hata Manzese zinatokea!
kutokea Dar ea salaam 😂😂Na dumu za Lita 20 tano kwenye booty
Alhamisi naelekea hukoitabidi tuchape trip ya huko [emoji16][emoji16]
Na rai pia wazingatie matumizi ya daraja au mahala maalumu pa kuvukia, kuna wengine vichwa vigumu kweli kweliDaraja la juu muhimu.
Naomba lift mkuu
Nimeona shida ya watembea kwa miguu wengine kushindwa kuheshimu alama na mahala pa kuvukia. Kwa Kijazi wameweka fans kwenye sehemu ila wanapiga maboko ya kufa mtu raia wanao vuka upande mmoja kuelekea upande wa piliUkiweka daraja,umbali fulani unaweka fence. Atakaegongwa maanake karuka fence shauri yake
Safari njemaMapopo wenzangu,kesho usiku T....DXA inaamsha DSM to Mbeya.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Maeneo kama hayo wakigongwa shauri yao. Motorway ukikutwa unatembea kwa miguu ni kosa la jinai.Nimeona shida ya watembea kwa miguu wengine kushindwa kuheshimu alama na mahala pa kuvukia. Kwa Kijazi wameweka fans kwenye sehemu ila wanapiga maboko ya kufa mtu raia wanao vuka upande mmoja kuelekea upande wa pili
hii inabidi na uku kwetu tuikopi hata watembea kwa miguu wapigwe mikeka yao 😀😀Maeneo kama hayo wakigongwa shauri yao. Motorway ukikutwa unatembea kwa miguu ni kosa la jinai.