Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Ipo hivi mfano ; leo ni tarehe 04 September 2021 siku inaenda kupinduka saa 00:00 wote watao ingia hotelin kuanzi mdaa huu hadi saa 02:49 watatoka kesho ambayo ni tarehe 05 Sepetember 2021. Ila mie nikiingia saa 03:00 nitatoka tarehe 06 Sepetember 2021.. alafu mie silalagi Lodge nadra sana hutokea hii kwasababu lodge nyingi zipo rough sana
 
Asante Mkuu, nikija huko nitakupigisha road trip ya Mguu. Toka S/Matola-Uhindini-Jacaranda-Meta Sec mpaka Old Forest. Ukiwa vizuri tunaenda mpaka mitaa ya Mzumbe.

Hiyo mitaa watoto wa uswazi wakikusumbua mcheki mshua Bujibuji.
Mi mtoto wa Soko Matola kabisa, Mtaa wa Kanisa nyumba namba 4.
Mitaa yetu mbuzi Choma ni mpaka Karembu, au Ghana Bar.... Mambo mzuka
 
Kwahiyo unakaa siku 2?

Basi huo utaratibu Ni mbovu Sana..


Kwahiyo mfano mtu ameingia saa1 asbh,anatakiwa atoke saa ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo unakaa siku 2?

Basi huo utaratibu Ni mbovu Sana..


Kwahiyo mfano mtu ameingia saa1 asbh,anatakiwa atoke saa ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndio changamoto ulipo maana hivyo vi lodge having mda maalumu wa kuingia.

Ukienda kwenye hoteli kubwa utakuta wameweka mda wakuingia na kutoka; ukichelewa kutoka unslipia na ukiwahi kufika ukataka kuingia unalipia.
 
Hapo ndio changamoto ulipo maana hivyo vi lodge having mda maalumu wa kuingia.

Ukienda kwenye hoteli kubwa utakuta wameweka mda wakuingia na kutoka; ukichelewa kutoka unslipia na ukiwahi kufika ukataka kuingia unalipia.
Maana inakuwa siku 2.
. Basi kila mtu ataenda saa6 usiku ili akae siku 2.
Maana kwa maelezo yake,ukiingia saa6 usiku unaweza kutoka keshokutwa yake... yaani utakaa hadi saa 4 asbh,utakaa tena hadi saa4 asbh ya kesho yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo mnatega ili mtumie siku 2?

Yaani aliteweka huo utaratibu alikosea.


Ilitakiwa yahesabiwe masaa tu,,ukikaa masaa 7 inatosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye lodge ndio mnafanyiwa hivyo, ila hotel kubwa kubwa hazina huo mchezo zina heshimu wateja wake saa tisa usiku na siku ingine hiyo kumekucha kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…