Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mimi nikifikiria zoezi la kuosha vyombo[emoji1751]Hahaaa haki ya nani tena
Yani bora nipike hata masaa manne ila mwisho wa siku nimalize vyombo vyote vikiwa visafi
Siwezi kuishi na mtu anayerundika vyombo na vile huwa sipendi kujipikilisha kila siku ndiyo kabisa
🤓🤓🤓 alikula mema ya mwili haya mkuuNilimpelekea chombo yake ndio akaamua anibakize kule 😂 View attachment 1934176
🤣🤣 imagine uko kitchen unaungua na mafuta and huyo wa kuitwa mume yuko busy kuchat na 'my wake.Mimi nikifikiria zoezi la kuosha vyombo[emoji1751]
Natamani niishi tu mwenyewe siku zote..huo uwife material ushanipita pembeni.
🤣🤓🤓🤓 alikula mema ya mwili haya mkuu
Na sie siku hizi hatupendi wife material hata, tunapenda miili yenu tu 😊😊😊Mimi nikifikiria zoezi la kuosha vyombo[emoji1751]
Natamani niishi tu mwenyewe siku zote..huo uwife material ushanipita pembeni.
Vitu laini.. Nimekielewa kifriji 😂Wewe mtundu sana
Shida ipo wapi kuchart na mpenzi wake ?🤣🤣 imagine uko kitchen unaungua na mafuta and huyo wa kuitwa mume yuko busy kuchat na 'my wake.
Hatari ipi tena? Vinywaji vya mapisi vinajulikana.. Nimeviona hadi koo limeshtuka 😂Dogo una hatari[emoji23][emoji119]
Nitakupa umakamu katika sekta ya uchambuzi wa vinywaji usaidiane na babe wangu ambaye ni mwenyekiti na mkemia mkuu wa vileo mchumba Jack Palladino
Nilimpa offer huyu Saint Anne ya kwenda alileta visingizio huenda nae angepajua na akawa ameweka chata yake hapo 😀😀😀Kijiwe chetu wazee wa road trip
Cc Holy Man
Ndio huwa unanyweshwa hivyo eeh 😁😁😁 unaongelea uzoefu wa mika kede kedeHatari ipi tena? Vinywaji vya mapisi vinajulikana.. Nimeviona hadi koo limeshtuka 😂
Kwa mtaji huo jukumu la kumwambia hapa wapi nakuachia weweNilimpa offer huyu Saint Anne ya kwenda alileta visingizio huenda nae angepajua na akawa ameweka chata yake hapo 😀😀😀
Ah kudadeki 🤣Shida ipo wapi kuchart na mpenzi wake ?
Ndio vyenyewe bana ila si ni LiFE tu 🤣Ndio huwa unanyweshwa hivyo eeh 😁😁😁 unaongelea uzoefu wa mika kede kede
Kijiweni... Kijiwe cha mabaharia wa uzi 😎A very good morning!
View attachment 1934265
Kabisa... Tujitahidi kuli'enjoy as much as we can!.Life lenyewe fupi ujue...
Na ka hali ka hapo unitoi nje kabisaa .. 😀😀😀A very good morning!
View attachment 1934265
😎😎😎😎Ndio vyenyewe bana ila si ni LiFE tu 🤣