Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kunyimia vitu ulivyopewa bure [emoji4][emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kunyimia vitu ulivyopewa bure [emoji4][emoji4]
We olewa tu mdogo wangu usije ukafa kwa upweke na sonona kama 'wataalam wa saikolojia' wanavyowaambiaga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo vyombo kila mtu atajioshea nyumbani!?
Hii sifa moja ya uvivu wa kuosha vyombo ishanitoa kwenye uwife material...wacha niendelee kula maisha ya pekeyangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We olewa tu mdogo wangu usije ukafa kwa upweke na sonona kama 'wataalam wa saikolojia' wanavyowaambiaga
Sie wengine maconcord hizo maupweka sijui masonona tushayazoea hakuna jipya la kututisha
Infact mimi ni bora niwe mpweke kuliko kupewa stress na binadamu mwenzangu maana ndoa siyo paradise stress nako ziko sana tu ni wewe tu kuchagua utavumilia kipi
Hakusema[emoji1751]Si umeambiwa Cate hotel Morogoro
Ndivyo tamaduni za kiafrika zilivyomlea mtoto wa kiume kwamba kuingia tu jikoni ni mwiko achilia mbali kujioshea hata vyombo vyake alivyotumia tuUmeona eeeh!
Upo unahangaika mtoto wa watu kumbe mwenzio hata habari na wewe hana.
Mimi vyombo tu dah!
Sipendi tangu Nikiwa mtoto..
Sasa napiga picha naenda kuishi na mtoto wa mtu sijui itakuwaje [emoji16],kuanza kusubiri ale nioshe[emoji1751]nishazoea vyombo vyangu namaliza kupika jikoni kila chombo nikitumia naosha hapohapo.
Hiyo siyo sababuacheni ubinafsi aseee.. nyie mpo wengi zaidi ya wanaume
Si unaona sasa kuliko nianze kulipiziana visasi na mtu ambaye najua hawezi kubadilika si bora nisiwe naye kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo watu wote wanaweza kupa stress..
Kuna watu wazuri sana hii dunia.
Ila nafikiria niolewe Mara mtu anipe stress,,
Ntamvuruga apate stress Mara 10 zaidi yangu.
Dogo unavyoongea kama upo siriaz vile[emoji38]
Tabia hizi wanazo sanasana wasukuma.Ndivyo tamaduni za kiafrika zilivyomlea mtoto wa kiume kwamba kuingia tu jikoni ni mwiko achilia mbali kujioshea hata vyombo vyake alivyotumia tu
Nafurahi kuona siku hizi kuna wazazi wanajielewa wanaanza kuwalea watoto wao kwa kuwafundisha kuwa dunia ya sasa hakuna kazi za kike wala za kiume
Huo mgawanyo wa majukumu ulikuwepo zamani enzi hizo wakati wanaume wanatafuta pesa kwa ajili ya wake na watoto huku wake wakiwa mama wa nyumbani tu
Ila kwa dunia ya sasa ambayo wanaume wanataka kusaidiwa maisha na wanawake wanatoka kwenda kutafuta pesa huo mgawanyo wa majukumu hauna maana tena
Siku hizi kuna wanaume mahotelini na migahawani wanapika na kuosha vyombo vizuri kabisa na siku hizi kuna wanawake ni mafundi ujenzi na makonda wa daladala
Nashindwa kuelewa kwanini mume na mke wanatoka kazini wote asubuhi na kurudi usiku ila wakifika nyumbani bado mke ndiyo ahangaike na kazi zote za jikoni peke yake
Na hapo ukute hata bills na mahitaji ya watoto wanasaidiana kulipa ila inapokuja kwenye house chores mwanamke anapambana na hali yake kana kwamba yeye ndiyo hachoki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si unaona sasa kuliko nianze kulipiziana visasi na mtu ambaye najua hawezi kubadilika si bora nisiwe naye kabisa
Wewe endelea tu kujipa moyo kuwa eti utakuwa na ndoa yenye raha tu maisha yako yote hicho kitu hakipo
Hahaaa wewe hata ukihisi natania ni sawa tu ila mimi ndiye ninayezijua akili zangu zilivyo nikiamuaga kitu
sababu ingine mnatofautiana ukarimuHiyo siyo sababu
Kama nyie ndio siku hizi tuna watafuta mmekuwa almasi kabisaaaDogo unawaza kuosha vyombo tu mimi kuna vingi mno ambavyo vinanifanya nipende kuishi mwenyewe tu ukiachilia mbali hizo kazi za nyumbani
Kila mtu ako na malengo yake na si kila mtu ana malengo ya kuwa na mtu na kuanzisha familia na mimi kuanzisha familia kwangu siyo kipaumbele kabisa
Najua jamii na watu wanaonizunguka wataongea maneno yote ila sitajali haya ndiyo maamuzi yangu maana furaha yangu na uhuru wangu ndiyo kipaumbele changu
Si unaona kama mie sina matatizo kabisaaaa 😯😯😯[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaweza pata mtu hana matatizo kabisa,ukiachilia mbali matatizo madogo madogo tu madhaifu ambayo kila mtu anayo .
Mimi najipa Moyo na ninaamini Mungu atanitendea nilivyoomba
Kuna muda ukifika utabadili mawazo.
Kuna shida pahala[emoji848]Dogo unawaza kuosha vyombo tu mimi kuna vingi mno ambavyo vinanifanya nipende kuishi mwenyewe tu ukiachilia mbali hizo kazi za nyumbani
Kila mtu ako na malengo yake na si kila mtu ana malengo ya kuwa na mtu na kuanzisha familia na mimi kuanzisha familia kwangu siyo kipaumbele kabisa
Najua jamii na watu wanaonizunguka wataongea maneno yote ila sitajali haya ndiyo maamuzi yangu maana furaha yangu na uhuru wangu ndiyo kipaumbele changu
😀😀😀 Umeisha gusa mji salute.. hapo unapata nundu yako safiii
Nyie wanaume hamtofautiani ukarinu?sababu ingine mnatofautiana ukarimu
eeh! na nyie mkitaba badiri ruksaNyie wanaume hamtofautiani ukarinu?
[emoji848]Si unaona kama mie sina matatizo kabisaaaa [emoji54][emoji54][emoji54]