Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo vyombo kila mtu atajioshea nyumbani!?

Hii sifa moja ya uvivu wa kuosha vyombo ishanitoa kwenye uwife material...wacha niendelee kula maisha ya pekeyangu.
We olewa tu mdogo wangu usije ukafa kwa upweke na sonona kama 'wataalam wa saikolojia' wanavyowaambiaga

Sie wengine maconcord hizo maupweka sijui masonona tushayazoea hakuna jipya la kututisha

Infact mimi ni bora niwe mpweke kuliko kupewa stress na binadamu mwenzangu maana ndoa siyo paradise stress nako ziko sana tu ni wewe tu kuchagua utavumilia kipi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo watu wote wanaweza kupa stress..
Kuna watu wazuri sana hii dunia.

Ila nafikiria niolewe Mara mtu anipe stress,,
Ntamvuruga apate stress Mara 10 zaidi yangu.

Dogo unavyoongea kama upo siriaz vile[emoji38]
 
Umeona eeeh!
Upo unahangaika mtoto wa watu kumbe mwenzio hata habari na wewe hana.

Mimi vyombo tu dah!
Sipendi tangu Nikiwa mtoto..
Sasa napiga picha naenda kuishi na mtoto wa mtu sijui itakuwaje [emoji16],kuanza kusubiri ale nioshe[emoji1751]nishazoea vyombo vyangu namaliza kupika jikoni kila chombo nikitumia naosha hapohapo.
Ndivyo tamaduni za kiafrika zilivyomlea mtoto wa kiume kwamba kuingia tu jikoni ni mwiko achilia mbali kujioshea hata vyombo vyake alivyotumia tu

Nafurahi kuona siku hizi kuna wazazi wanajielewa wanaanza kuwalea watoto wao kwa kuwafundisha kuwa dunia ya sasa hakuna kazi za kike wala za kiume

Huo mgawanyo wa majukumu ulikuwepo zamani enzi hizo wakati wanaume wanatafuta pesa kwa ajili ya wake na watoto huku wake wakiwa wamama wa nyumbani tu

Ila kwa dunia ya sasa ambayo wanaume wanataka kusaidiwa maisha na wanawake wanatoka kwenda kutafuta pesa huo mgawanyo wa majukumu hauna maana tena

Siku hizi kuna wanaume mahotelini na migahawani wanapika na kuosha vyombo vizuri kabisa na siku hizi kuna wanawake ni mafundi ujenzi na makonda wa daladala

Nashindwa kuelewa kwanini mume na mke wanaenda kazini wote asubuhi na kurudi usiku ila wakirudi nyumbani bado mke ndiyo ahangaike na kazi zote za jikoni peke yake

Na hapo ukute hata bills na mahitaji ya watoto wanasaidiana kulipa ila inapokuja kwenye house chores mwanamke anapambana na hali yake kana kwamba yeye ndiyo hachoki
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo watu wote wanaweza kupa stress..
Kuna watu wazuri sana hii dunia.

Ila nafikiria niolewe Mara mtu anipe stress,,
Ntamvuruga apate stress Mara 10 zaidi yangu.

Dogo unavyoongea kama upo siriaz vile[emoji38]
Si unaona sasa kuliko nianze kulipiziana visasi na mtu ambaye najua hawezi kubadilika si bora nisiwe naye kabisa

Wewe endelea tu kujipa moyo kuwa eti utakuwa na ndoa yenye raha tu maisha yako yote hicho kitu hakipo

Hahaaa wewe hata ukihisi natania ni sawa tu ila mimi ndiye ninayezijua akili zangu zilivyo nikiamuaga kitu
 
Ndivyo tamaduni za kiafrika zilivyomlea mtoto wa kiume kwamba kuingia tu jikoni ni mwiko achilia mbali kujioshea hata vyombo vyake alivyotumia tu

Nafurahi kuona siku hizi kuna wazazi wanajielewa wanaanza kuwalea watoto wao kwa kuwafundisha kuwa dunia ya sasa hakuna kazi za kike wala za kiume

Huo mgawanyo wa majukumu ulikuwepo zamani enzi hizo wakati wanaume wanatafuta pesa kwa ajili ya wake na watoto huku wake wakiwa mama wa nyumbani tu

Ila kwa dunia ya sasa ambayo wanaume wanataka kusaidiwa maisha na wanawake wanatoka kwenda kutafuta pesa huo mgawanyo wa majukumu hauna maana tena

Siku hizi kuna wanaume mahotelini na migahawani wanapika na kuosha vyombo vizuri kabisa na siku hizi kuna wanawake ni mafundi ujenzi na makonda wa daladala

Nashindwa kuelewa kwanini mume na mke wanatoka kazini wote asubuhi na kurudi usiku ila wakifika nyumbani bado mke ndiyo ahangaike na kazi zote za jikoni peke yake

Na hapo ukute hata bills na mahitaji ya watoto wanasaidiana kulipa ila inapokuja kwenye house chores mwanamke anapambana na hali yake kana kwamba yeye ndiyo hachoki
Tabia hizi wanazo sanasana wasukuma.

Mimi kuna shemeji yangu huyo yaani akikuta mtoto wake wa kiume yupo jikoni ni kesi.
Eti mtoto wa kiume hatakiwi kugusa jiko![emoji134]

Kuna wanaume yaani anakaa utadhani mlemavu,hafanyi kazi yoyote yaani..hata zile za usafi wa nje ambazo anaweza kufanya hafanyi..
Anasubiri tu kula na vyombo unamuoshea!

Unakumbuka uzi fulani mwanaume analialia humu eti mkewe hajamtengea maji ya kuoga bafuni[emoji38],huyohuyo mkewe ahudumie watoto,mkewe apike,afanye kila kitu..ukute ni mjamzito Halafu na maji ambebee!
Watu wakamwambia tafuta hela mkuu uweke Bomba la ndani chooni upunguze kulalamika

Ila hizi tamaduni sijui alitunga nani [emoji848]ifike muda zibadilishwe.,bila hivyo kutakuwa na mtifuano Sana.

Si ajabu tunajadili hapa kuna watu watatuona sisi siyo mawife materials,,yaani bongo mwanamke kuteseka ndio uwife material.
 
Si unaona sasa kuliko nianze kulipiziana visasi na mtu ambaye najua hawezi kubadilika si bora nisiwe naye kabisa

Wewe endelea tu kujipa moyo kuwa eti utakuwa na ndoa yenye raha tu maisha yako yote hicho kitu hakipo

Hahaaa wewe hata ukihisi natania ni sawa tu ila mimi ndiye ninayezijua akili zangu zilivyo nikiamuaga kitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unaweza pata mtu hana matatizo kabisa,ukiachilia mbali matatizo madogo madogo tu madhaifu ambayo kila mtu anayo .

Mimi najipa Moyo na ninaamini Mungu atanitendea nilivyoomba

Kuna muda ukifika utabadili mawazo.
 
Dogo unawaza kuosha vyombo tu mimi kuna vingi mno ambavyo vinanifanya nipende kuishi mwenyewe tu ukiachilia mbali hizo kazi za nyumbani

Kila mtu ako na malengo yake na si kila mtu ana malengo ya kuwa na mtu na kuanzisha familia na mimi kuanzisha familia kwangu siyo kipaumbele kabisa

Najua jamii na watu wanaonizunguka wataongea maneno yote ila sitajali haya ndiyo maamuzi yangu maana furaha yangu na uhuru wangu ndiyo kipaumbele changu
Kama nyie ndio siku hizi tuna watafuta mmekuwa almasi kabisaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unaweza pata mtu hana matatizo kabisa,ukiachilia mbali matatizo madogo madogo tu madhaifu ambayo kila mtu anayo .

Mimi najipa Moyo na ninaamini Mungu atanitendea nilivyoomba

Kuna muda ukifika utabadili mawazo.
Si unaona kama mie sina matatizo kabisaaaa 😯😯😯
 
Dogo unawaza kuosha vyombo tu mimi kuna vingi mno ambavyo vinanifanya nipende kuishi mwenyewe tu ukiachilia mbali hizo kazi za nyumbani

Kila mtu ako na malengo yake na si kila mtu ana malengo ya kuwa na mtu na kuanzisha familia na mimi kuanzisha familia kwangu siyo kipaumbele kabisa

Najua jamii na watu wanaonizunguka wataongea maneno yote ila sitajali haya ndiyo maamuzi yangu maana furaha yangu na uhuru wangu ndiyo kipaumbele changu
Kuna shida pahala[emoji848]
 
Cc Holy Man
IMG_20210912_142937_3.jpg
 
Back
Top Bottom