Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kweli wanawake wengi huwa tunakuwaga wanoko sana makazini kuliko wanaume sijui shida nini. Na hili ni kwenye kada nyingi hasa sisi ambao tuna vyeo vya chini.
 
Saa nne usiku ukifika hapo hakuna chakula

Stand ndio tunadhani kuna amsha amsha ndio pamefubaa kama sio kuzubaa

Kuna parking ya truck mkabala na hapo

Singida ni Afadhali ya Manyoni na Misigiri kwa huduma za kibinadam
Saa nne ukisogea ubungo pale panatazamana na rode huwa panawaka au serengeti huwa panachelewa chelewa kufunga.. huwa na mchizi mmoja ikungi huwa ananichomea mbuzi na kuku hatariiii sanaa
 
Saa nne ukisogea ubungo pale panatazamana na rode huwa panawaka au serengeti huwa panachelewa chelewa kufunga.. huwa na mchizi mmoja ikungi huwa ananichomea mbuzi na kuku hatariiii sanaa
Si ni hadi nipafahamu[emoji3]

Kwenye hizi parking ukikuta kampuni fulani ya usafirishaji nao wapo hapo, huwezi enenda mbali

Itoshe kusema ni jamaa wabaya hawafai, unaweza kuta 'Dubai' yote imepigwa

Unajilalia na kuilinda ofisi yako kuliko kuzurura kutafuta chakula[emoji1787]
 
Mnalindana....kuna Stori eti mchaga na mpemba walisafiri na treni chumba kimoja siku mbili hawajalal kila mmoja anamhofia mwenzie. Mchaga anajua akilala mpemba atampitia, mpemba anaogopa akilala mchaga atamuibia hela zake!
 
[emoji3][emoji3]

Inafanania hiyo stori, jamaa hawafai

Tunduma wamelazimishiwa ku park kwenye yard yao

Imagine 'Dubai' yote ya safari waipige, wana vi pipe vidogo kama mrija wa kunywea juisi

Unasafiri vipi na fogo unamwambiaje akuelewe[emoji3][emoji848]
 
ukifika nishtue niwe mwenyeji wako asee😎😎 mambo yetu ya kinyaturu sio ya mchezo mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…