Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Vitauro acha kabisaa unaweza telekeza nyumba kabisaa kwenye hivi na watu wa mtwara wabayaa sanaaa 😀😀😀Mtalaam kwenye ubora wako
Umeyajuaje hayo[emoji3][emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitauro acha kabisaa unaweza telekeza nyumba kabisaa kwenye hivi na watu wa mtwara wabayaa sanaaa 😀😀😀Mtalaam kwenye ubora wako
Umeyajuaje hayo[emoji3][emoji848]
Singida hadi jumanne, nipo Dar es Salaam sasa hivi 😀😀😀Hakika Mkuu
Nasomeka minjingu muda huu, yaani nalala
mapema tu Singida hapo kesho
Utakuwepo ama nipite na mia[emoji3][emoji3][emoji848]
Matema BeachKyela moja,Matema beach sehemu inajulikana hivyo wakuu..
Ngoja nitupie na ka picha hapo chini.
Tupia na Picha ya ziwani mkuuMatema BeachView attachment 1952270
Unapotoa mguu me naweka dsm-sgd-moshi now nipo Arusha j4 dsm!Singida hadi jumanne, nipo Dar es Salaam sasa hivi [emoji3][emoji3][emoji3]
Hii hapa moja ya sample mkuuTupia na Picha ya ziwani mkuu
Mzee baba njoo uvue samaki wa kimanga huku.Naona kitu cha safari hapo 😀😀😀 hayo maharage huwa ni matamuu baraaa, hapo lazima ule vyote mtengenezaji na chakula nyewe
Mambo ya weekendView attachment 1952608
Road Trip za downton kwa Amos Makalla.
😀😀😀😀 nasubiri first year sasa hivi hayo makurumbembe yananyonya kila kitu aseeeMzee baba njoo uvue samaki wa kimanga huku.
Hapa wabongo wapo wachache wengi wasouth, njoo mida mibovu hata bila chambo unavua samaki.😀😀😀😀 nasubiri first year sasa hivi hayo makurumbembe yananyonya kila kitu aseee
Imebidi niondoke kwa hasira maana raia wanatumia pesa madafu kwa Fujo na hawawazi.Mambo ya weekend
mida ya funguliwa mbwa ndio zangu hizo naingia nalala usingizi ukiisha ndio naibuka sasa ile ki don 😀😀😀Hapa wabongo wapo wachache wengi wasouth, njoo mida mibovu hata bila chambo unavua samaki.
huwa wanawaza siku inayofata anapojikuta katoa boko 😀😀😀Imebidi niondoke kwa hasira maana raia wanatumia pesa madafu kwa Fujo na hawawazi.
Nipo nyakahuraView attachment 1952608
Road Trip za downton kwa Amos Makalla.
Nafurahia tu commentMambo ya weekend
I wish asubuhi ya saa tatu tungeonana mazee, nilikuwa singaporeUnapotoa mguu me naweka dsm-sgd-moshi now nipo Arusha j4 dsm!