Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Zamani kulikua na watoto wa mama Salma vyuo vingiii. Vipi siku hizi hamna watoto wa mama Samia? Unakula wazuuri lakin Wana Moto.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
vile vilikuwa vitisho tu, ili vijana waogope ila kiu harisia hakujawai kuwa na kitu kama hicho.. ingekuwa kweli tungeisha zamani
 
kukuogopa mama salama ni sawa na kuogopa chakula kizuri ukitishiwa kina pili pili wakati hamna kitu, watoto wa chuo wanajua kujipamba bwana weee sema vinakuwa empty set ndio unaanza kukapiga msasa
 
Hao watoto walikuwa na majaribu kipindi hicho nilikuwa Moro Town, jamaa yangu alinipa ishu ya kusambaza body spray kaka yake alileta 20ft Zanzibar akawa anaogopa Kodi huku Bongo, nilikuwa nasambaza SUA na Jordan na madukani kwa Bei kitonga.

Mzigo ulikuwa unakuja kwa Mafungu Dar Kisha Moro kwenye Shangazi kaja. Biashara wateja wakubwa walikuwa wakina dada wa SUA na Jordan, Jioni unapita kwenye hostel unaona nyara haziwekewa kizuizi au unapita Madeni kwa ambao walichukua hawakumaliza kulipa.

Mwishoni Kuna siku nilikuwa Jordan University pale nje getini Kuna duka wakati nafanya maelewano na mwenye duka nimletee mzigo maana alipenda bidhaa, akatokea mwanachuo wa kike alikuwa anataka Kuna body spray alipenda Ile kagua kagua yake si akaona Kuna spray expire date imepita akaongea kwa sauti na kusaga Sana kunguni kuwa nauza vitu vilivyo expire mpaka bwashee akasikia na akaghairi kuchukua mzigo wowote kwangu.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] pole sana seaman!

Siku nyingine usirudie kuchuuza bidhaa zilizo nje ya muda!
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] pole sana seaman!

Siku nyingine usirudie kuchuuza bidhaa zilizo nje ya muda!
Kwenye utafutaji hutakiwi kuwa roho ya mama mzazi

Roho ya mama wa kambo ndio haswa uwe nayo

Yakikukuta ni yako na ukipatia mjanja wewe

Uzeeni unakula pensheni vile ulivyochakata hustle zako[emoji3][emoji3]
 
Kwenye utafutaji hutakiwi kuwa roho ya mama mzazi

Roho ya mama wa kambo ndio haswa uwe nayo

Yakikukuta ni yako na ukipatia mjanja wewe

Uzeeni unakula pensheni vile ulivyochakata hustle zako[emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Nafsi haikusuti kumuingiza mtu kingi?
Haujihisi mwenye hatia kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…