Usipige kelele, watu wamelala.Unapajua njoo nikupe mchongo 😊😊 simu zako ndio umenipa tofali napo eeh! nyie ma boss nyie ma boss
Nyakati hizi sio za kulala mwisho wa mwaka hesabu zinafungwaUsipige kelele, watu wamelala.
huu mzinga hatari sana, kuna Nissan, hiyo gari nyeusi sijui gari gani na hilo basi duhTuwe makini
View attachment 1964410
Hiyo Nissan ni za wale jamaa zetu hawafuati sheria, naona kikaumana.Tuwe makini
View attachment 1964410
Najiuliza huyu mwenye Nisan nyeupe ilikuwaje hapoNyeusi Ractis
Kwa mawazo yangu huyu aliovateki akakutana uso kwa uso na Ractis, bus nyuma ya Ractis likashindwa kusimama ghafla likakandamiza Ractis....habari za juu ni kwamba hamna mtu aliepoteza maisha.Najiuliza huyu mwenye Nisan nyeupe ilikuwaje hapo
Sijui hata ilikuwaje asee, angalia from a different angleKwa mawazo yangu huyu aliovateki akakutana uso kwa uso na Ractis, bus nyuma ya Ractis likashindwa kusimama ghafla likakandamiza Ractis....habari za juu ni kwamba hamna mtu aliepoteza maisha.
Sio dom hapa? [emoji23][emoji23]View attachment 1960153
Happy weekend road hitters
ka Ractis wamekapiga mande mbaya sana, kama wazima jambo jema ila wanakula drip mda huuKwa mawazo yangu huyu aliovateki akakutana uso kwa uso na Ractis, bus nyuma ya Ractis likashindwa kusimama ghafla likakandamiza Ractis....habari za juu ni kwamba hamna mtu aliepoteza maisha.
Wapi hii mkuuTuwe makini
View attachment 1964410
mmmh! mbona hatari sana
Na mie huwa nafanya kama wewe hufanyavyo maana hawaaminiki haoNdio maana huwa sipendi bus au lorry linikalie karibu mbele au nyuma
Kama una uwezo ni kukimbia tu kuyaacha mbaliNdio maana huwa sipendi bus au lorry linikalie karibu mbele au nyuma
Ameamua kujitundika juu😅Najiuliza huyu mwenye Nisan nyeupe ilikuwaje hapo