Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Thanks nimeingia 11 alfajiri salute kwa KLMKaribu sana..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks nimeingia 11 alfajiri salute kwa KLMKaribu sana..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Pole sana kwa safari..[emoji4][emoji4]Thanks nimeingia 11 alfajiri salute kwa KLM
Hao wengi si walikuwa chuo cha Mwalimu Nyerere ?Zamani kulikua na watoto wa mama Salma vyuo vingiii. Vipi siku hizi hamna watoto wa mama Samia? Unakula wazuuri lakin Wana Moto.
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Jana kwenye Road trip pale unaingia Msata nimekuta mzinga wa uso kwa uso IST na Carina TI aisee noma sana.
Huyu jamaa wa IST akiovertake akakutana uso kwa uso na TI ilikuwa na wanajeshi watano wakitoka job pale Wami nafikiri wakielekea Dar, mpaka natoka wale jamaa wote 6 wamelala huku wakiugulia maumivu seriously...
Tuwe makini tuwapo road wazee, haraka na mwendokasi sio kabisa.
Duh hatari sanaView attachment 1962308View attachment 1962309
Hizi gari zina namba DV... Ina maana hazina hata miezi 6 tangu zisajiliwe
Wapi hapa mkuu,...???
hapa ni mangumbi, wilaya ya kilwa nikiwa naelekea kipatimu nchi ya milimaWapi hapa mkuu,...???
wapi hapa mkuu
Kibamba mkuu. nimerudi mjini baada ya kuzurura mikoani.wapi hapa mkuu
Safi sana mkuu.Kibamba mkuu. nimerudi mjini baada ya kuzurura mikoani.
Sigara, safari mbona vyote vigumu?Dagaa[emoji3]View attachment 1958736
😋😋😋😋 ebu njoo nikupe mchongoSigara, safari mbona vyote vigumu?
Wapi?😋😋😋😋 ebu njoo nikupe mchongo
Unapajua njoo nikupe mchongo 😊😊 simu zako ndio umenipa tofali napo eeh! nyie ma boss nyie ma bossWapi?