Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

trip zaendelea
86094052-BBD1-44C2-AD49-5FD44E932CFD.jpeg
 
IST again...
Jana kwenye Road trip pale unaingia Msata nimekuta mzinga wa uso kwa uso IST na Carina TI aisee noma sana.
Huyu jamaa wa IST akiovertake akakutana uso kwa uso na TI ilikuwa na wanajeshi watano wakitoka job pale Wami nafikiri wakielekea Dar, mpaka natoka wale jamaa wote 6 wamelala huku wakiugulia maumivu seriously...

Tuwe makini tuwapo road wazee, haraka na mwendokasi sio kabisa.
 
Back
Top Bottom