Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

[emoji38]
Mpole acha tu,ila bado namuogopa,basi siku tumekutana nilikuwa mpoleee,mdogo kama piriton[emoji23]+ongea Yangu ya taratibu..

Yule namuogopa hata kuongea naye siwezi ...
Kama wewe unavyomuogopa yule dada yangu naniliu[emoji38],,nilienda msalimia..yaani ni mpole kuliko Mimi[emoji16]nikaanza kuogopa.
Duuh sasa mbona maandishi yao humu hayafananii kabisa na upole? Aahh wapole wanajulikana bhana!
 
Kuolewa na mwanaume wa haya magari ni kujitafutia presha na stress .
Yaani unatafuta matatizo yalipo.

Mimi mtu akishakuwa tu na kazi ya udereva,ama polisi ..yaani sijiulizi mara 2,2 kufanya maamuzi.
Ila polisi wametokea kuchukiwa sana ndani ya miaka mitano iliyopita! Sijui shida nini hasa!
 
Back
Top Bottom