Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Duuh sasa mbona maandishi yao humu hayafananii kabisa na upole? Aahh wapole wanajulikana bhana!
 
Kuolewa na mwanaume wa haya magari ni kujitafutia presha na stress .
Yaani unatafuta matatizo yalipo.

Mimi mtu akishakuwa tu na kazi ya udereva,ama polisi ..yaani sijiulizi mara 2,2 kufanya maamuzi.
Ila polisi wametokea kuchukiwa sana ndani ya miaka mitano iliyopita! Sijui shida nini hasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…