Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nipo Daslam
Naaa..
JPEG_20211010_164433_6147393487572160074.jpg
 
Kyela ina joto kuliko Dar!

Yaani hadi naoga maji ya moto asbh!

Au ni joto lipi huwa mnalisema nyie??

Huyo RRONDO kyela amewahi kuishi??
Au tumpeleke ashuhudie joto lake.
Duuh yaani Dar unaoga maji ya moto? Mimi Mbeya tu nilikuwa siogi maji ya moto muda wowote ule sembuse Dar!

RRONDO anawaza kutembelea mikoa ya kusini anasema mbali, muelezee vivutio vilivyopo kule ili ashawishike aende.
 
Nimefika Dar nilikuwa naoga maji ya moto.

Mbeya unaoga maji ya baridi?[emoji15][emoji15]
Kweli wewe mwanajeshi [emoji23][emoji23]

Hawa kusini sijui iliwakosea nini.
Holy Man Namshauri kila siku tuende kutembea kusini hataki[emoji38]
 
Dah!
Kimara leo [emoji119][emoji119][emoji119][emoji91]

Kile kiwanja kimekaa vibaya dah,,,,miguu inatetemeka,,,lile bonde jamani..
Halafu tulifurika kama nzige.
Nimefika pale population ipo barabarani ..wanatushusha chini,,, kushuka Sasa[emoji119][emoji119]
 
Nimefika Dar nilikuwa naoga maji ya moto.

Mbeya unaoga maji ya baridi?[emoji15][emoji15]
Kweli wewe mwanajeshi [emoji23][emoji23]

Hawa kusini sijui iliwakosea nini.
Holy Man Namshauri kila siku tuende kutembea kusini hataki[emoji38]
Aahh hamna ni mazoea tu! Yaani unaoga yale maji ya baridi yanayotoa ukungu kabisa tena alfajiri ya saa kumi!

Halafu hata Mbeya baridi siyo kali kivile baridi liko Njombe Makete huko ndiyo makao makuu ya baridi Tanzania! Aisee sijaona wilaya nchi hii inayofikia Makete kwa baridi yaani kule temperature kugonga negative ni jambo la kawaida sana!
 
Nadhani huko makete kuna viwanda vya kuzalisha baridi.
Maji ya Baridi mbeya siogi,hata iwe mchana wa jua Kali.

Nikifululiza kifua changu hakichelewi kubana.

Naoga maji ya moto yanaounguza kabisa mwili,,muda naenda kuoga nakuwa nimeandaa kabisa mahala pa kujitupia nikitoka kuoga.

Nikimaliza najifunika najitupia kitandani..hata dakika 10,mwili ukae sawa.
 
Nimefika Dar nilikuwa naoga maji ya moto.

Mbeya unaoga maji ya baridi?[emoji15][emoji15]
Kweli wewe mwanajeshi [emoji23][emoji23]

Hawa kusini sijui iliwakosea nini.
Holy Man Namshauri kila siku tuende kutembea kusini hataki[emoji38]
😀😀😀😀 kusini hunipeleki aseee , jaribu kunishawishi twende
 
Utasubiri sana....😆😆
Mkuu wangu naomba unishawishi kuchukua Audi Q7 😀😀😀 nimefikilia kuwa na SUV moja, leo nilikuwa na mtoto akaja mtu mwenye fortuner akakisifia sana hasa ile kuwa juu .. zina uzuri gani Q7 au kwa SUV gani german ni chombo kinacho elekea na Q7, nilikuwa nawaza Discovery 4 ila kama sijavutiwa sana

Extrovert Deeboyfrexh
 
Hahahahahah walioko on par na Q7 ni Porsche Cayenne, BMW X6 na VW Touarage bila kusahau GL 350
 
Back
Top Bottom