Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

"nikiingia kwenye Ofisi zenye maair-condition nashangaa nakaa sana hata kama nina mishe"

Kati ya mvua na jua bora nini?

What's up Mzizima.
What's up DarSlum jiji la wavuja jasho.

-Kaveli-
Binafsi ukiniuliza kati ya mvua na jua bora kipi nitakuambia bora jua. Lakini hapo hapo ukiniuliza kati ya joto na baridi bora kipi nitakuambia bora baridi yaani sipendi mvua na joto.

Ni mikoa michache sana hapa Tanzania inayoweza kubalance kuwa na baridi huku jua linawaka mfano Njombe na Mbeya. Ila Dar sasa unakuta mvua inanyesha halafu bado kuna joto daah.
 
Kumbe mvua pia ipo Dar?
Itakuwa patashika sana[emoji2362]...kuna siku kijimvua kidogo tu kimenyesha nimepita Sehemu pananuka balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna utaratibu mzuri wa kuzibua vyoo[emoji134]
Kwahiyo kila mvua itakaponyesha watu wanasitisha kazi zao nyingine,wanaanza kuzibua vyoo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua yale maeneo yana mchanga na maji kwa hio kuchimba choo kirefu mtu anaona gharama kwa hio wanachimba mashimo mafupi kuepuga gharama
 
Kweli kabisa Karma.. kuna wengine tuna elimu kubwa tu, na tulitamani sana tulitumikie taifa letu ila ndio hivo nafasi hazikupatikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…