Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Hahaha mimi mzima kabisa Bwashee sijui pande hizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha mimi mzima kabisa Bwashee sijui pande hizo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kingine ajipambanie [emoji1787][emoji28]
Eti anasema nijipambanie[emoji23][emoji23]Umpatie kimoja halafu hicho kingine cha pili akapewe na mwingine?
-Kaveli-
Hatari sana wazee wa kutia mpira kambani dakika ya 95 kipindi refa kaweka filimbi mdomoni anavuta pumzi.Muhimu muhimu hiii.. dk ya 94 + wakajichanganya kipa hayupo gorini wala beki wote walipanda mbele 😀😀😀
Ishu sio kunenepa tu, je unanenepa kwa kufuata utaratibu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uko wapi??
Njoo tule nyama tuongeze mwili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilifika mwaka jana hapa na hiyo mitaaAt the highest point in Dar es salaamView attachment 1976585View attachment 1976588
[emoji23][emoji23][emoji23]Ishu sio kunenepa tu, je unanenepa kwa kufuata utaratibu?
Hehe halooo.Ishu sio kunenepa tu, je unanenepa kwa kufuata utaratibu?
Hali ya hewa? Kifuru?At the highest point in Dar es salaamView attachment 1976585View attachment 1976588
Mie huwa naenda mara moja moja kupanda nikipamiss. Wakati naishi huko nilikuwa napanda karibu kila wiki ila tangu nilivyohama imekuwa ngumu kuenda mara kwa mara.Nilifika mwaka jana hapa na hiyo mitaa
Yup YupHali ya hewa? Kifuru?
Jana limeniivisha kwenye daladala acha kabisa.
Hatari sana wazee wa kutia mpira kambani dakika ya 95 kipindi refa kaweka filimbi mdomoni anavuta pumzi.
Jana limeniivisha kwenye daladala acha kabisa.
Leo sijaliona maana nimeshinda sehemu yenye kiyoyozi.
Hahaha!"nikiingia kwenye Ofisi zenye maair-condition nashangaa nakaa sana hata kama nina mishe"
Kati ya mvua na jua bora nini?
What's up Mzizima.
What's up DarSlum jiji la wavuja jasho.
-Kaveli-
Alafu ukarudishwa nyumbani na gari ya bi harusi iliyopambwa. Walisemaje nilipokushusha pale?
Nilijitahidi kuendesha taratibu yale maua yasipepee [emoji38] japo uvumilivu ulinishinda baadae
Barabarani walijua nakupeleka harusini
View attachment 1972266
Hahaha!
Karibu ofisini kwangu mkuu..ukae Hadi uchoke,huku tukijadili road trip.
Kati ya mvua na jua mnapenda?
Mbona mnanichanganya wengine jua wengine mvua.
Sent using Jamii Forums mobile app