Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Sikuona hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namie ni mpole jamani kama Holy Man munizingatie kwenye list!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikuona hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namie ni mpole jamani kama Holy Man munizingatie kwenye list!
Haha isiwepo kwanini? Na Dar mvua kidogo tu mafuriko barabara nyingi hazipitiki kwahiyo foleni mji mzima yaani mtu kukaa kwenye foleni masaa nawili hadi manne ni jambo la kawaida labda kwa wale mfano unakuta anafanya kazi Upanga halafu anaishi Masaki hao ndiyo wanapisha na hizo foleni!Kumbe mvua pia ipo Dar?
Itakuwa patashika sana[emoji2362]...kuna siku kijimvua kidogo tu kimenyesha nimepita Sehemu pananuka balaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah kweli mkuu! Huwa napita kwenye ule uzi wa nafasi za kazi jeshi la polisi uzi unakimbia balaa vijana wanaulizia kila siku majina yatatoka lini ndiyo nikagundua kumbe watu ile kazi wanaitaka pamoja na kwamba polisi wanatukanwa kila kukicha humu!Hii nafasi wengine tunaitamani sana Depal
Pole sana mkuu. Kama kwenye hivi vyombo vya wizara ya mambo ya ndani haukuomba na una vigezo vyote basi jaribu kuomba JWTZ wakitangaza na soon watatangaza hawatachukua muda.Kweli kabisa Karma.. kuna wengine tuna elimu kubwa tu, na tulitamani sana tulitumikie taifa letu ila ndio hivo nafasi hazikupatikana
mwaka 2010 tuli apply zilikuja nafasi chuoni, nikapata wenzagu walio enda sasa hivi wana vyeo vikubwa ila wana njaa kali kuliko mie machinga wakitaa. Jeshi ni huduma na sio ajira, kama waenda tafuta ajira kule tayari big noPole sana mkuu. Kama kwenye hivi vyombo vya wizara ya mambo ya ndani haukuomba na una vigezo vyote basi jaribu kuomba JWTZ wakitangaza na soon watatangaza hawatachukua muda.
Hao itakuwa hawana nidhamu tu ya pesa ila kudhani kwamba eti wanakunja pesa ndogo ni uongomwaka 2010 tuli apply zilikuja nafasi chuoni, nikapata wenzagu walio enda sasa hivi wana vyeo vikubwa ila wana njaa kali kuliko mie machinga wakitaa. Jeshi ni huduma na sio ajira, kama waenda tafuta ajira kule tayari big no
Nidhamu ya pesa ikoje mkuu ? au mtu anatakiwa awaje ili tuseme huyu nidhamu ya pesa ipo 🙂🙂Hao itakuwa hawana nidhamu tu ya pesa ila kudhani kwamba eti wanakunja pesa ndogo ni uongo
Ni kweli jeshi ni kujitolea tu ila kama jamaa mwenyewe kasema anapenda tumuache ajaribu bahati yake
Jeshi haliajiri askari bali linaandikisha askari
Na jeshini hakuna mshahara bali kuna posho tu
Haha si ni kutumia pesa vizuri tu jamani! Au hao jamaa zako huwa wanalia njaa siku zote 365 za mwaka?Nidhamu ya pesa ikoje mkuu ? au mtu anatakiwa awaje ili tuseme huyu nidhamu ya pesa ipo [emoji846][emoji846]
Now u saw itSikuona hii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Karma, sikutanii.. wengine tumekua ndoto zetu zilikuwa tuje tulitumikie taifa ( upande wa uaskari wa aina yoyote ) kwa maana kila raia haijalishi ni police au mwananchi analitumikia taifa kwa namna fulani..Yeah kweli mkuu! Huwa napita kwenye ule uzi wa nafasi za kazi jeshi la polisi uzi unakimbia balaa vijana wanaulizia kila siku majina yatatoka lini ndiyo nikagundua kumbe watu ile kazi wanaitaka pamoja na kwamba polisi wanatukanwa kila kukicha humu!
Tena wengine wanalalamikaga sana kuhusu hizo nafasi za baba kanituma kuwa ndiyo zinawafanya watoto wa masikini wasio na refa yeyote wakose au wapate wachache! Na kibaya zaidi ni kwamba hizi nafasi haziwezi kukosekana kabisa popote pale serikalini!
Tuanzie zimamoto..Pole sana mkuu. Kama kwenye hivi vyombo vya wizara ya mambo ya ndani haukuomba na una vigezo vyote basi jaribu kuomba JWTZ wakitangaza na soon watatangaza hawatachukua muda.
Kwa mtu wa ajira sawa, ila wengine ajira huko hatuzingatii saaana.. it's all about serving the country chiefmwaka 2010 tuli apply zilikuja nafasi chuoni, nikapata wenzagu walio enda sasa hivi wana vyeo vikubwa ila wana njaa kali kuliko mie machinga wakitaa. Jeshi ni huduma na sio ajira, kama waenda tafuta ajira kule tayari big no
Mkuu pambana ndoto Yako itatimia. Kama umepangiwa upande huo ni suala la muda.Karma, sikutanii.. wengine tumekua ndoto zetu zilikuwa tuje tulitumikie taifa ( upande wa uaskari wa aina yoyote ) kwa maana kila raia haijalishi ni police au mwananchi analitumikia taifa kwa namna fulani..
Na tumesoma sana mpaka unajiuliza hivi hawatuoni au ndio mpaka refa [emoji3]
Sema ndio hivyo hakuna namna
Mkuu gari gani hii
Hapu mguu na macho yako tu mkuu, njia haina surprise zozote. Ungekuwa unatembea usiku ningekuambia uwe makini kipande flani ukishapita kibaigwa nadhani kuna kama mbuga, kuna matuta makubwa mno kama manne na hayana warning. Mchana utayaona ila usiku ndio changamoto.Holy Man ISO M.CodD wiki ya kwanza mwezi ujao nina trip ya Dodoma. Sijawahi kupita njia ya Kati zaidi ya Morogoro. Nipeni dondoo njia ikoje hasa kwa gari zetu zinazotembelea tumbo!