Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kumbe mvua pia ipo Dar?
Itakuwa patashika sana[emoji2362]...kuna siku kijimvua kidogo tu kimenyesha nimepita Sehemu pananuka balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha isiwepo kwanini? Na Dar mvua kidogo tu mafuriko barabara nyingi hazipitiki kwahiyo foleni mji mzima yaani mtu kukaa kwenye foleni masaa nawili hadi manne ni jambo la kawaida labda kwa wale mfano unakuta anafanya kazi Upanga halafu anaishi Masaki hao ndiyo wanapisha na hizo foleni!
 
Hii nafasi wengine tunaitamani sana Depal
Yeah kweli mkuu! Huwa napita kwenye ule uzi wa nafasi za kazi jeshi la polisi uzi unakimbia balaa vijana wanaulizia kila siku majina yatatoka lini ndiyo nikagundua kumbe watu ile kazi wanaitaka pamoja na kwamba polisi wanatukanwa kila kukicha humu!

Tena wengine wanalalamikaga sana kuhusu hizo nafasi za baba kanituma kuwa ndiyo zinawafanya watoto wa masikini wasio na refa yeyote wakose au wapate wachache! Na kibaya zaidi ni kwamba hizi nafasi haziwezi kukosekana kabisa popote pale serikalini!
 
Pole sana mkuu. Kama kwenye hivi vyombo vya wizara ya mambo ya ndani haukuomba na una vigezo vyote basi jaribu kuomba JWTZ wakitangaza na soon watatangaza hawatachukua muda.
mwaka 2010 tuli apply zilikuja nafasi chuoni, nikapata wenzagu walio enda sasa hivi wana vyeo vikubwa ila wana njaa kali kuliko mie machinga wakitaa. Jeshi ni huduma na sio ajira, kama waenda tafuta ajira kule tayari big no
 
Hao itakuwa hawana nidhamu tu ya pesa ila kudhani kwamba eti wanakunja pesa ndogo ni uongo

Ni kweli jeshi ni kujitolea tu ila kama jamaa mwenyewe kasema anapenda tumuache ajaribu bahati yake

Jeshi haliajiri askari bali linaandikisha askari

Na jeshini hakuna mshahara bali kuna posho tu
 
Nidhamu ya pesa ikoje mkuu ? au mtu anatakiwa awaje ili tuseme huyu nidhamu ya pesa ipo 🙂🙂
 
Nidhamu ya pesa ikoje mkuu ? au mtu anatakiwa awaje ili tuseme huyu nidhamu ya pesa ipo [emoji846][emoji846]
Haha si ni kutumia pesa vizuri tu jamani! Au hao jamaa zako huwa wanalia njaa siku zote 365 za mwaka?

Kama siyo nidhamu ya pesa basi watakuwa na majukumu kama yale niliyoyasema siku ile! Wana vyeo gani?

Kuna jamaa mmoja ni sergeant alikuwa anawasema raia kwamba wanawasifia tu bure officers na kuwaona dili sana kuliko non officers. Wakati officers ndiyo wanaoongoza kulia njaa na kuwakopakopa hovyo hawa non officers.

Akawa anaelezea investments alizofanya ndani ya miaka yake aliyotumikia jeshi kuwa pamoja na kwamba siyo officer ila kafanya mambo mob tu na halii njaa. Wakati officers wengi wanatumia pesa vibaya wanakula bata hovyo tu.
 
Yeah kweli mkuu! Huwa napita kwenye ule uzi wa nafasi za kazi jeshi la polisi uzi unakimbia balaa vijana wanaulizia kila siku majina yatatoka lini ndiyo nikagundua kumbe watu ile kazi wanaitaka pamoja na kwamba polisi wanatukanwa kila kukicha humu!

Tena wengine wanalalamikaga sana kuhusu hizo nafasi za baba kanituma kuwa ndiyo zinawafanya watoto wa masikini wasio na refa yeyote wakose au wapate wachache! Na kibaya zaidi ni kwamba hizi nafasi haziwezi kukosekana kabisa popote pale serikalini!
Karma, sikutanii.. wengine tumekua ndoto zetu zilikuwa tuje tulitumikie taifa ( upande wa uaskari wa aina yoyote ) kwa maana kila raia haijalishi ni police au mwananchi analitumikia taifa kwa namna fulani..

Na tumesoma sana mpaka unajiuliza hivi hawatuoni au ndio mpaka refa [emoji3]

Sema ndio hivyo hakuna namna
 
Pole sana mkuu. Kama kwenye hivi vyombo vya wizara ya mambo ya ndani haukuomba na una vigezo vyote basi jaribu kuomba JWTZ wakitangaza na soon watatangaza hawatachukua muda.
Tuanzie zimamoto..
Picha linaanza JKT sijawahi pita, na kozi yangu haikuwepo ( nyingi zilikuwa usanifu, uhandisi na ualimu )

Tuje uhamiaji
JKT pale pale

Magereza
Vile vile

Police pia.

Ngoja tuone baka baka
 
mwaka 2010 tuli apply zilikuja nafasi chuoni, nikapata wenzagu walio enda sasa hivi wana vyeo vikubwa ila wana njaa kali kuliko mie machinga wakitaa. Jeshi ni huduma na sio ajira, kama waenda tafuta ajira kule tayari big no
Kwa mtu wa ajira sawa, ila wengine ajira huko hatuzingatii saaana.. it's all about serving the country chief
 
Karma, sikutanii.. wengine tumekua ndoto zetu zilikuwa tuje tulitumikie taifa ( upande wa uaskari wa aina yoyote ) kwa maana kila raia haijalishi ni police au mwananchi analitumikia taifa kwa namna fulani..

Na tumesoma sana mpaka unajiuliza hivi hawatuoni au ndio mpaka refa [emoji3]

Sema ndio hivyo hakuna namna
Mkuu pambana ndoto Yako itatimia. Kama umepangiwa upande huo ni suala la muda.

Ukipata nafasi ya umachinga kama Holy Man na mimi usikatae riziki popote. Sio bongo tu ukitaka nafasi ya jeshi Kuna jamaa wa kitaa alijiunga na jeshi la wageni la USA ujaribu na huko Kuna watu watakusaidia miongozo ya kufikia ndoto.
 
IMG_0581.jpg

Safari niipendayo zaidi

Hapa roho yangu imesuuzika
 
Holy Man ISO M.CodD wiki ya kwanza mwezi ujao nina trip ya Dodoma. Sijawahi kupita njia ya Kati zaidi ya Morogoro. Nipeni dondoo njia ikoje hasa kwa gari zetu zinazotembelea tumbo!
Hapu mguu na macho yako tu mkuu, njia haina surprise zozote. Ungekuwa unatembea usiku ningekuambia uwe makini kipande flani ukishapita kibaigwa nadhani kuna kama mbuga, kuna matuta makubwa mno kama manne na hayana warning. Mchana utayaona ila usiku ndio changamoto.
 
Back
Top Bottom