Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Aisee pole zao. Mungu awajaalie... Me nilipita na list niijuayo kucheck kama wana mtindio nimeona wote wazima.

Sema kule mambo ni magumu. Nakumbuka siku sis alipiga simu wamevamiwa mpk sauti ilibadilika. Anaogopa basi baba akambembeleza wee [emoji1787]
Anhaa!

unaona sasa kama hiyo iliyomtokea sis wako kuna situation mnakuta mpo under fire yani ile ushasali kabisa unajua hutoki lkn miraculously unatoka hai.

Lazima utabaki na "combat trauma" ambayo itakusumbua tu isipokua addressed. Mara ushindwe kulala, mwili kuishiwa nguvu kila ukikumbuka etc etc
 
Got you pot.
 
IMG_20211014_124754_3.jpg
 
Back
Top Bottom