Omerta
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 5,957
- 7,505
OkayDuh sijaona mtu mwenye shida hizo aisee.
We unasemea wale wanaotemwa baada ya u service ku'expire?
Hao wa mission mbona wako bien sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkayDuh sijaona mtu mwenye shida hizo aisee.
We unasemea wale wanaotemwa baada ya u service ku'expire?
Hao wa mission mbona wako bien sana?
Pole 😂Okay
Pole ya nini tena bibie?Pole 😂
Hii gari inanifanya nizunguke town bila mawazo yoyote..... Ila Kuna jini lingine nikizunguka nalo wiki tu napata mawazo.IST zikigongana lazima watashuka vijana waliovaa vibukta
Duh kinda sexy
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]So it has become a mutual crush now eeh? Mpeane na namba kabisa, asije akapotea mmoja humu, mkaanza kuhangaika kama kipindi kile (kidding)[emoji188][emoji188][emoji188]
C.c Karma
Kweli kabisa,pale nahisi mpaka sasa bado kunaitwa Peugeot house,ndo ilipokuwa Citibank,ncr ccsi,na ndo kulikuwa na ile maktaba ya msaada kutoka AmericaKwa wale vijana wa juzi, pale kwenye mataa ya Serena(Bibi titi/Ohio street) kulikuwa na round about. Ukinyoosha kushoto kwako kulikuwa na Peugeot house ambapo kulikuwa kunauzwa Peugeot mpya kabisa!
Kuna sehemu huko juu nilikusoma kuwa unampango wa kuuza machine ulizonazo ili ulete nyingine kwa sababu zimesaga sana lami.......itapendeza utuletee hizi machine iwe mfano kwa wabongo na uoga wetu 😁😁😁
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Dada umeanza Lini tena uchochezi jamani
Baada ya kufIka mwisho wa safari nilienda kununua kitu pahali kutuksna na akili kuchoka nikaacha bahasha mezani ikiwa na 1.86, nilikuja kumbuka baada ya massa 5 hivi.Pesa ilopoteaje mkuu
Daaah.........pole japo limeshapita na uchungu umeshakwishaBaada ya kufIka mwisho wa safari nilienda kununua kitu pahali kutuksna na akili kuchoka nikaacha bahasha mezani ikiwa na 1.86, nilikuja kumbuka baada ya massa 5 hivi.
Kudos man!Wengi wapo tu mtaani katika umri mdogo huku uchumi ukiwa mbovu.-ila hili siyo muhimu katika hoja yangu.
Hoja yangu ya msingi ningependa kuona afya ya akili inaimarishwa vyema na kutiliwa mkazo jeshini. Nadhani inahitajika sana.
[emoji38][emoji3][emoji3]Leo tu [emoji38][emoji38][emoji38]
"You havent killed as many people as i have and still sleep like a kitten if you feel shit like guilt". Alisikika mwanajeshi mmoja.Kudos man!
Hili la afya ya akili ni ishu serious ambayo bado haijatiliwa mkazo stahiki kwenye jeshi letu.
Mental disorders are real kwa wanaotoka mission, wengine wakati wa mafunzo etc.
Bongo hapa utasikia wanasema tu ana "war illness" na utakua declared "unfit" kazi ndo basi tena.
PTSD (Post Traumatic Stress Disorder ), Depression etc zipo sana tu watu huku wanadata na wengine kuwehuka kabisa.
Kuua mtu/adui ni kazi ya kwanza, kazi ya pili ni kuishi na ile "guilt" hapa ndo some serious psychological assistance huitajika.
Depal nimeona comment yako chini [emoji3]
Wapo sana tu, Lugalo hapo wapo. Utasubiriwa ukipona heri, ikishindikana jeshi bye-bye.
Hahaa, quotes tu hizo mamii [emoji23]"You havent killed as many people as i have and still sleep like a kitten if you feel shit like guilt". Alisikika mwanajeshi mmoja.
Haha naelewa mjuba! Hata wale tisa mbili lazima wawe na roho za kibinadamu hata wapatiwe mafunzo outer space!Hahaa, quotes tu hizo mamii [emoji23]
Hali kwa ground ni tofauti [emoji23][emoji3], wengine ni tisa mbili kabisa na bado akili zinaruka fresh tu..
Nashukuru sana kaka Kwa kuliona hili.Kudos man!
Hili la afya ya akili ni ishu serious ambayo bado haijatiliwa mkazo stahiki kwenye jeshi letu.
Mental disorders are real kwa wanaotoka mission, wengine wakati wa mafunzo etc.
Bongo hapa utasikia wanasema tu ana "war illness" na utakua declared "unfit" kazi ndo basi tena.
PTSD (Post Traumatic Stress Disorder ), Depression etc zipo sana tu watu huku wanadata na wengine kuwehuka kabisa.
Kuua mtu/adui ni kazi ya kwanza, kazi ya pili ni kuishi na ile "guilt" hapa ndo some serious psychological assistance huitajika.
Depal nimeona comment yako chini [emoji3]
Wapo sana tu, Lugalo hapo wapo. Utasubiriwa ukipona heri, ikishindikana jeshi bye-bye.
Pamoja boss.Nashukuru sana kaka Kwa kuliona hili.
Depal niliamua tu kuepusha ligi ,lkn tatizo lipo na ni kubwa sana.
Natamani hili lingeonekana lifanyiwe kazi.
Aisee pole zao. Mungu awajaalie... Me nilipita na list niijuayo kucheck kama wana mtindio nimeona wote wazima.@Depal nimeona comment yako chini![]()
Wapo sana tu, Lugalo hapo wapo. Utasubiriwa ukipona heri, ikishindikana jeshi bye-bye.