Singida kuna raha yake. Nilikuwa natulia hapo ila weekend naenda pigia mwanza hiyo nafanya kazi jumatatu hadi jumatano. alahmisi asubuhi naondoka saa nne nipo mwanza nakupa bata hadi jumapili mchana, jioni naondoka kurudi kazini singida [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mitaa yangu ilikuwa regency pale .. siku ingine Rode matoto ya chuo cha utumishi na TIA yanaajaaa yanakuja changamsha nakapanda kale ka mji mda wowote unachapa mwendo Arusha au Dom.. sema sio ka mji kakupiga matukio dk sifuri umejulika