Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Usema kweli nimetembea KM kibao hadi nafikiri mwanzo wa mwaka kubadirisha gari zote au mwisho wa mwaka zisije anza kuroga roga [emoji2572][emoji2572][emoji2572]
Fuga limekula 26000 kms since january mpka sasa. Service cost yake sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikiandika hapa hata mtu aliyetamani kulimiliki atasusa
 
Fuga limekula 26000 kms since january mpka sasa. Service cost yake sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nikiandika hapa hata mtu aliyetamani kulimiliki atasusa
lazima mfuko ujue kusema lugha moja na hicho chombo bila hivyo utaishia kutukana gari za nissan na kuita vimeo kumbe kimeo ni mfuko 😀😀
 
Singida kuna raha yake. Nilikuwa natulia hapo ila weekend naenda pigia mwanza hiyo nafanya kazi jumatatu hadi jumatano. alahmisi asubuhi naondoka saa nne nipo mwanza nakupa bata hadi jumapili mchana, jioni naondoka kurudi kazini singida [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mitaa yangu ilikuwa regency pale .. siku ingine Rode matoto ya chuo cha utumishi na TIA yanaajaaa yanakuja changamsha nakapanda kale ka mji mda wowote unachapa mwendo Arusha au Dom.. sema sio ka mji kakupiga matukio dk sifuri umejulika
Wakubwa mnakula vinono
 
Back
Top Bottom